KOLEA LYRICS BY ALPHAJIRI AND JOVIAL
Verse One
Naona lately
Simu nikipiga
Stress inakupiganga
Na hata maybe
Kuniplay unaniplay
Mbona unanichezanga
Ninasaka hela
Letu penzi
Nisijekukera
Nitakuenzi
Nyumba maji Yote nimelipa
Na mavazi Uzidi umbika
Unanikunjia Sura kunitisha
Ona Penzi lako limekwisha
Chorus
Baby tuende pole pole
Hata nikikosa pole pole baby
Kwako nimekole kolea
Hata nikikosa pole pole baby
Baby tuende pole pole
Hata nikikosa pole pole baby
Kwako nimekole kolea
Hata nikikosa pole pole baby
Verse Two
Kuniimbia ukarukia
Nipunguzie mawazo
Na yale sio kitu honey
Mwenzio usinitoe chamboo
Inaumiza nafsi
Naomba uwe nami
I miss your touch
Nakutamani
Nyumba maji yote umelipa
Na mavazi nizidi umbika
Muda wako ndio hujaniridhisha
Penzi langu kwako haliwezi kwisha
Chorus
Baby tuende pole pole
Hata nikikosa pole pole baby
Kwako nimekole kolea
Hata nikikosa pole pole baby
Baby tuende pole pole
Hata nikikosa pole pole baby
Kwako nimekole kolea
Hata nikikosa pole pole baby
Verse Three
Unaninice kidesign
The way you dance nalike it
Na penzi siezi deny
I want you Monday to Monday
Unaninice kidesign
The way you dance nalike it
Na penzi siezi deny
I want you Monday to Monday
Baby tuende pole pole
Hata nikikosa pole pole baby
Kwako nimekole kolea
Hata nikikosa pole pole baby
Baby tuende pole pole
Hata nikikosa pole pole baby
Kwako nimekole kolea
Hata nikikosa pole pole baby
Chorus
Baby tuende pole pole
Hata nikikosa pole pole baby
Kwako nimekole kolea
Hata nikikosa pole pole baby
Baby tuende pole pole
Hata nikikosa pole pole baby
Kwako nimekole kolea
Hata nikikosa pole pole baby
KOLEA LYRICS BY ALPHAJIRI AND JOVIAL
ALSO, SING TO, MAWINGU LYRICS ā GILAD