Home NEWS Kimangoto Lyrics – Timmy Tdat – Boondocks Gang

Kimangoto Lyrics – Timmy Tdat – Boondocks Gang

0
Kimangoto Lyrics

Kimangoto Lyrics – Timmy Tdat – Boondocks Gang

Intro

One, by the way, apo nitakung’ ora
Two, tuanze za sodoma na Gomora
Three omoka fadhe apa ntakupora
Four, tetema na mascene za ma horror

Kimangoto Lyrics Verse One – Timmy Tdat

Ye tu dem ni black instagram tune
Sometimes niko sober sometimes navido
Ati swaga me nazidunga, aah mavizu
Ask how i do buda better than you

Eeh wamepay attention na hata silipizi
Nikishaipiga kauber siitishi
Sijakula yako ndio uniite fisi
Me nakuanga romantic naeza kuwa mpisi

Wananiita god ati me ndo hukata godes
Hapa me ndio board shika chalk chora zote
Niko uptown tena bado kwa majojez
Anything na anything lolote ni lolote

Hakuna mtu wa mathematic

Chorus

Oria aii ni makushoto
Aii oria aii ni kimangoto
Ooh oria aii pita orosho
Ooh oria aii me simba koko

Oria aii ni makushoto
Aii oria aii ni kimangoto
Ooh oria aii pita orosho
Ooh oria aii me simba koko

Kimangoto Lyrics Verse Two – ExRay

Nyama kwa nyama sijui kama kiss aii
Leta change ju sijaitupa key
Nina asali lakini sina bee
Me napenda punyeto ndo maana sina bee

Anapending na alipata A aje
Mazigwembe omulira mwana wanje
Bangaye,penga ju fom ni kubanju
Nichome kipyenga ju fom ni kupange

Leta keroma si kuja nikumange
Kuku usitage unga ukande
Ka una mbegu si kuja nikupande
Niko mavodoo spirit ni za sunday

Chorus

Oria aii ni makushoto
Aii oria aii ni kimangoto
Ooh oria aii pita orosho
Ooh oria aii me simba koko

Oria aii ni makushoto
Aii oria aii ni kimangoto
Ooh oria aii pita orosho
Ooh oria aii me simba koko

Kimangoto Lyrics Verse Three – Maddox

Mamiro we unaenda raw
Kakilo so unakuja na chrome
Na minyoo zimepigwa tu na ndom
Kambio ni kuchana tu kanjong’

Aah wanjiro nikurukie kinjom
Kombero nikukembee kwa chuom
Oria morio origanero
Waitherero tor ariga neroo
Oria morio origanero
Waitherero tor ariga neroo

Oria aii ni makushoto
Aii oria aii ni kimangoto
Ooh oria aii pita orosho
Ooh oria aii me simba koko

Oria aii ni makushoto
Aii oria aii ni kimangoto
Ooh oria aii pita orosho
Ooh oria aii me simba koko

Kimangoto Lyrics Verse Four – Odi wa Murang’a

Kinakodo gakwa
Onegaba onegabura
Kinakodo gakwa
Onegaba onegabura

Odi wa murang’a unamada matrack sana
Ana ana ana turi yako soft sana
Sijaacha kuridano nilitia maskio pamba
Kuvimba kichwa me huchoma hadi pigiwa na NACADA

Nilipenda shada sana nitakosaje shtashahada
Nilipenda ikus sana malaya akaniimbia hadi mbota
Matembe nikaekewa kwa keroma na moguka
Na bado tukipatana wanadai kushikiwa soda

ALSO, SING TO Its Ok Lyrics – Zzero Sufuri – New Song 2019

Chorus

Oria aii ni makushoto
Aii oria aii ni kimangoto
Ooh oria aii pita orosho
Ooh oria aii me simba koko

Oria aii ni makushoto
Aii oria aii ni kimangoto
Ooh oria aii pita orosho
Ooh oria aii me simba koko

Hakuna mtu wa mathematic

Credit

Timmy Tdat
Boondocks Gang