Home NEWS Kilangakomo Lyrics – ASLAY

Kilangakomo Lyrics – ASLAY

0
Kilangakomo Lyrics

Kilangakomo Lyrics by ASLAY. Download Audio

Verse One

Uvivu wa kuchagua nimeula wa chuya
Nilichagua sura, wala sikujali tabia
Na kubwa kupungua ndipo kanijia

Mateso yake kutwa namfikiria
Kumbe nimeuziwa mbuzi kwa gunia
Kwenye cover burger ndani nilikuta baghia

Mbona nampenda sana
Ninamlinda sana
Ananitesa jama mama

Nahisi amechanganya
Moyo unagandama
Nataka kula nyama, nyama

Oh laini anatoka sasa bar
Simu ukipiga inatumika
Message anazionaga
Dhiki za promo zimejaa anazipitaga

Chorus

Kilangakomo, kilangakomo mwana mie
Salamu kalonga kilangakomo
Nafumba mdomo, naweka promo nitulie

Kilangakomo, kilangakomo mwana mie
Salamu kalonga kilangakomo
Nafumba mdomo, naweka promo nitulie

Verse Two

Nishaga kumbana na pazi na kazi nikakosa
Baada ya kufuma message nikamiss kutomaswa
Nishagombanaga naye ni fundi wa msasa
Kapiga msasa bedi na penzi akala kabisa

Sasa nikupe nini wewe malkia
Utulie kama nilivyotulia
Unataka nife siku hazijafikia
Hicho labda ndicho unasubiria mmmh

Mbona nampenda sana
Ninamlinda sana
Ananitesa jama mama

Nahisi amechanganya
Moyo unagandama
Nataka kula nyama, nyama

Oh laini anatoka sasa bar
Simu ukipiga inatumikaga
Message anazionaga
Dhiki za problem zimejaa anazipitaga

Chorus

Kilangakomo, kilangakomo mwana mie
Nafumba mdomo, naweka promo itulie

Kilangakomo, kilangakomo mwana mie
Nafumba mdomo, naweka promo itulie

Kilangakomo Lyrics by ASLAY

ALSO, SING TO – Simu Lyrics – Goodluck Gozbert

Leave a Reply