Home NEWS Kesi Lyrics – King Kaka Ft Kelechi Africana – New Song 2020

Kesi Lyrics – King Kaka Ft Kelechi Africana – New Song 2020

0
Kesi Lyrics
kesi king kaka

Kesi Lyrics – King Kaka Ft Kelechi Africana

Kesi Lyrics Verse One

Tusikuwe kama Otile na Vera kwa Insta
Ati tukikosana natoa mapicha
Even though presence yako inachachisha
Curves tu ka daro ya mao

Class tu upishi wa limau
Malaika wewe mabawa hadi miguu
Tell me something
How does it feel to be you?

We sio msumari mummy chumvi you
Usishangae vile of late mi nina bunda
Nika double check ka change ya konda
Usifiche kidole nishaona pete
Its unfortunate mummy you are taken

Chorus

Wa mtu sumu mke, Oooh nah nah nah
Kesi wazo bora itoke, Oooh nah nah nah
Naona ka sio fair, Oooh nah nah nah
Love yangu ikopwe

Naogopa kesi, (Kesi kesi), kesi ke
Mi si pendi kesi, (Kesi kesi), kesi ke
Naogopa kesi, (Kesi kesi), kesi ke
Mi si pendi kesi, (Kesi kesi), kesi ke
Ooh Kesi

Kesi Lyrics Verse Two

And I see you online na ye mko happy Kwa hii hesabu yote niko wapi?
Ata ka nina feelings bado
Ungenishow tu from the word go
Hizo makona tuziwachie Dago
Basi shukisha mzigo ndio roho iwe nyepesi

Trust me hata mi staki tukesi
So basi mami usinipigie
Hata ikiwasha aje usinipigie Narudia usinipigie
Ona unaficha kidole na nishaona pete
Its unfortunate mummy you are taken

Chorus

Wa mtu sumu mke, Oooh nah nah nah
Kesi wazo bora itoke, Oooh nah nah nah
Naona ka sio fair, Oooh nah nah nah
Love yangu ikopwe

Naogopa kesi, (Kesi kesi), kesi ke
Mi si pendi kesi, (Kesi kesi), kesi ke
Naogopa kesi, (Kesi kesi), kesi ke
Mi si pendi kesi, (Kesi kesi), kesi ke
Ooh Kesi

Verse Three

Yalo ndwele si pite
Umenipanganisha leo we ni wa mwenzangu
Acha storo wee….
Huenda am the best love kwenye bed
Ila kushare mi siwezi
Acha storo wee….Kesi sitaki

Kesi (Kesi kesi), kesi ke
Mi si pendi kesi, (Kesi kesi), kesi ke
Naogopa kesi, (Kesi kesi), kesi ke
Mi si pendi kesi, (Kesi kesi), kesi ke
Naogopa kesi
Kubwa!

CREDIT: KING KAKA and KELECHI AFRICANA

SING TO: The Way You Are Lyrics – Otile Brown – New Song 2020