Katanisha Lyrics – Sailors and Joefes – New Song 2019
Katanisha Lyrics Verse One
Mwaki kuna kitu inabaki
Na hao madem wamevalia khaki
Skankin moshi mbili na majani
After this tupatane magizani
Ujunky msondo zitolewe parking
Mzieke ready ready zianze kujumping
Ka kata katanisha
Ka kata katanisha
Katanisha hiyo steki okota
Katanisha hiyo steki rombosa
Ka kata katanisha
Ka kata katanisha
Katanisha hiyo steki okota
Katanisha hiyo steki rombosa
Katanisha Lyrics Verse Two
Leo ni project ten tuwateka
Pata me base nipate na mapaka
Ni mapanya tuko busy tukisaka
Hizo panya route leo tutafyeka
Nilikaspot kwenye club kakibanju
Nikafine nikawine kamekwachu
Kumbe kukacheki nikabantu
Hakapendi high heels zake low shoes
Kwake ni marepeat sio one two
Nikawacha kamebleki kwani aiii shoo
Pre chorus
Mwaki kuna kitu inabaki
Na hao madem wamevalia khaki
Skankin moshi mbili na majani
After this tupatane magizani
Ujunky msondo zitolewe parking
Mzieke ready ready zianze kujumping
ALSO, SING TO PAH Lyrics – Nameless and Darassa – New Song 2019
Chorus
Ka kata katanisha
Ka kata katanisha
Katanisha hiyo steki okota
Katanisha hiyo steki rombosa
Ka kata katanisha
Ka kata katanisha
Katanisha hiyo steki okota
Katanisha hiyo steki rombosa
Katanisha Lyrics Verse Three
Buda ombulu ombululu
Nikireta burukanga kama kunguru
Manyungu manyungu manyunguru
Unajifanya kishash na ngeus we ni kinyaro
Mbona mnanigudhura kwa ndoto
Me shalkido kijana wa majoto
Sitambui me hutaka hadi poko
Wakiroria nina mbogi kutoka Porto
Chapanisha turi ushinde kama lotto
Manyodo manyodo juu mboko mboko
Na mgede apewe ngafia apate joto
Ajifanye wamdheru nimkule soko
Nikumwaga chap chap ka uber za masonko
Aaah rukido waga
Pre chorus
Mwaki kuna kitu inabaki
Na hao madem wamevalia khaki
Skankin moshi mbili na majani
After this tupatane magizani
Ujunky msondo zitolewe parking
Mzieke ready ready zianze kujumping
Chorus
Ka kata katanisha
Ka kata katanisha
Katanisha hiyo steki okota
Katanisha hiyo steki rombosa
Ka kata katanisha
Ka kata katanisha
Katanisha hiyo steki okota
Katanisha hiyo steki rombosa
Katanisha Lyrics Verse Four
Nimetoka kwa wenyewe
Nimetoka kunyandua dem wa wenyewe
Nyumba haulipii chapi hebu sare
Zikiriet kejani ni mathare
Nakapin kanashikwa na mhare
Stingo mingi nakikora tu ni mabare
In ady church leo ninateka nun
Hapendi dhambi anajua nikona nun
Kwenye paradiso lakini joh tunaburn
Fry liver leo tulikuja na pan
Ambia ezekiel ye nifan hawezi burn
Hii tracky day one tunagonga laki
Pre chorus
Mwaki kuna kitu inabaki
Na hao madem wamevalia khaki
Skankin moshi mbili na majani
After this tupatane magizani
Ujunky msondo zitolewe parking
Mzieke ready ready zianze kujumping
Chorus
Ka kata katanisha
Ka kata katanisha
Katanisha hiyo steki okota
Katanisha hiyo steki rombosa
Ka kata katanisha
Ka kata katanisha
Katanisha hiyo steki okota
Katanisha hiyo steki rombosa
Credit