Kamwambie Lyrics by Kayumba
Kamwambie Lyrics Verse One
Muulize anataka nini?
Nimwombe Mungu wangu ampatie
Mimi hoi masikini
Hali yangu mwenzangu na mie
Ningekuwa na uwezo
Ningempa dunia amiliki
Eeh ajue nampenda
Penzi pembe la ng’ombe halifichiki
Eeh kamwambie, siku hizi mapenzi hakuna
Wale wengi wanatamanio
Mwambie nateketea mshumaa
Mwenye penzi la kweli anidhamanie
Siku hizi mapenzi hakuna
Wale wengi wanatamani oo
Mwambie  nateketea mshumaa
Mwenye penzi la kweli anidhamanie
Chorus
Afanye pole pole (Naumia roho)
Pole pole, naumia naumia
Ah chonde chonde, kamwambie
Chonde chonde
(Yeye ndo nusura wa ndoto zangu)
Afanye pole pole (Naumia roho)
Pole pole, naumia naumia
Ah chonde chonde, kamwambie
Chonde chonde
(Yeye ndo nusura wa ndoto zangu)
Kamwambie Lyrics Verse Two
Akisema hanitaki
nahisi itapulizwa parapanda
Mwisho mwisho wa dunia,
presha inashuka na inapanda
Akisema hanitaki
nahisi itapulizwa parapanda
Mwisho mwisho wa dunia,
presha inashuka na inapanda
Sikiliza na uende ukamwambie
Moyo wangu wa mtumba chonda asiniuzie
Fundi geneza lisinifukie
Mapenzi yanauma asisikie
Eeh kamwambie, siku hizi mapenzi hakuna
Wale wengi wanatamanio
Mwambie nateketea mshumaa
Mwenye penzi la kweli anithamanie
Siku hizi mapenzi hakuna
Wale wengi wanatamani oo
Mwambie  nateketea mshumaa
Mwenye penzi la kweli anithamanie
Chorus
Afanye pole pole (Naumia roho)
Pole pole, naumia naumia
Ah chonde chonde, kamwambie
Chonde chonde
(Yeye ndo nusura wa ndoto zangu)
Afanye pole pole (Naumia roho)
Pole pole, naumia naumia
Ah chonde chonde, kamwambie
Chonde chonde
(Yeye ndo nusura wa ndoto zangu)
(Mafia)
Deka Lyrics – Billnass and Marioo – New Song 2020
Kamwambie Lyrics by Kayumba – Download Mp3 Audio