Home NEWS Kamikaze Lyrics – Octopizzo – New Song 2019

Kamikaze Lyrics – Octopizzo – New Song 2019

0
Kamikaze Lyrics

Kamikaze Lyrics – Octopizzo

Kamikaze Lyrics Verse One

Namba nane Kamikaze
Hao wengine wajikaze
Hii ni mboka niko kaze
Cash cheque madeposit
Wasupa daily wanateta
Ulimi ya Octo manze pangwa
Nikitema nawakata
Mbao mbao mi makanga

Nimembao bila randa
Rada wapi dada
Blunder sina shada
Murder hii matanga
Namba nane tunachanga
Niki pull up wanashangaa
Eee Pizzo de waa King
Name Ohanga John ring bell

Tuko kwa ring ring
Chini ya maji ni marine
Splash splash mi na swim
Cash cash mi na win
Puff puff pewa wind
Stake fry bila wings
Em high bila weed
Mbengu mingi pewa seed

Mbili mbili hizi twins
King king hao queens
Panguza ndula cheza chini
Uppercut chunga chin
Lamu zangu breeze
Kalamu ina bleed
Icecube wamefreeze
Achiuuu nime sneeze

Chorus

Namba nane Kamikaze
Hao wengine wajikaze
Hii ni mboka niko kaze
Cash cheque madeposit
Namba nane Kamikaze
Hao wengine wajikaze
Hii ni mboka niko kaze
Cash cheque madeposits

They’ll be lookin lookin lookin
Lookin at me
I’ll be i say when you lookin at me
What do you see Pizzo de King
They’ll be lookin lookin lookin
Lookin at me
I’ll be i say when you lookin at me
What do you see Pizzo de King

Kamikaze Lyrics Verse Two

Akili nywele we kipara
Mheshimiwa hidara
Msupa cheza chini bana
Hizo haga nazidara
Pupa iko nini buda
Bila kucha nawagwaraaa raa
Wamerun mi ni shabaaa raa
Kata miti chonga shamba

Bonga mbaya kula pamba
Funga leso pewa kanga
Penda kuku mi namanga
Poshomill mi nasiaga
Demo mi ni teargas
Teke teke hii ni riadha
Banasi hii ni real apana fantasy
Galaxy cheki fiti mi ni star nanii

Hana seed mwaga chini
Hii ni murder scene
Ka ni biff leta nyama
Mi nina magazeene
Scary scene kila kitu apa halloween
Eeei strings na t- team kama violin
Violin bana bana spendi violence
Keep on me too busy ongezea mioneds

Chorus

Namba nane Kamikaze
Hao wengine wajikaze
Hii ni mboka niko kaze
Cash cheque madeposit
Namba nane Kamikaze
Hao wengine wajikaze
Hii ni mboka niko kaze
Cash cheque madeposits

They’ll be lookin lookin lookin
Lookin at me
I’ll be i say when you lookin at me
What do you see Pizzo de King
They’ll be lookin lookin lookin
Lookin at me
I’ll be i say when you lookin at me
What do you see Pizzo de King

ALSO, SING TO Lift Me Up Lyrics – Nyashinski – New Song 2019