Joto Lyrics – Elani – Download Mp3 Audio
Wengi wamezaliwa duniani
Nataka tu mi niwe nawe
Nataka tu mi niwe nawe
Wengi wasengenya juu hawaelewi
Nataka tu nibaki nawe
Nataka tu nibaki nawe
Bado
Nakupenda
Bado nakutaka, hayayaya
Bado busu lako
Lanipa mimi joto, hayayaya
Nataka niwe nawe
Tuwe tu milele
Mi nawe ni mi nawe
Ni mi nawe
Malaika nataka niwe nawe
Kwenye dunia
Siku zimepita
Milele na milele nimeamua
Tuwe tu milele
Mi nawe ni mi nawe
Ni mi nawe
Malaika nataka niwe nawe
Kwenye dunia
Siku zimepita
Milele na milele nimeamua
Wengi wamezaliwa duniani
Nataka tu mi niwe nawe
Nataka tu mi niwe nawe
Wengi wasengenya juu hawaelewi
Nataka tu nibaki nawe
Nataka tu nibaki nawe
Bado
Nakupenda
Bado nakutaka, hayayaya
Bado busu lako
Lanipa mimi joto, hayayaya
Nataka niwe nawe
Tuwe tu milele
Mi nawe ni mi nawe
Ni mi nawe
Malaika nataka niwe nawe
Kwenye dunia
Siku zimepita
Milele na milele nimeamua
Ju nakupenda
Usiende mbali na moyo wangu
Nashangilia kuwa nawe
Safari ya maisha yangu
Kwa machache tu
Nakupenda mpenzi
Kwa machache tu
Nikuenzi mpenzi
Malaika nataka niwe nawe
Kwenye dunia
Siku zimepita
Milele na milele nimeamua
Joto Lyrics Credit – Elani
ALSO, SING TO – Taniua Lyrics – Bahati Ft Boondocks Gang – New Song 2020