Jeshi Lyrics Harmonize.
Yawe Yao, ooh nananaa, mmmh
Sometimes what you doing
Can be receiving
Na huwezi kuvuna usichokipanda
Thanks God for giving
Ghetto sikuwa na umeme wala cable
Jeans moja t-shirt na yebo
Ati Leo namiliki lebo!????
Lebo, konde gang lebo
Siku zote kisichokuua
Kitakufanya uwe ngangari
Hata mwanga huwezi kumjua
So ishi nao kwa tahadhari
My sister sikuhizi shape ???? ananunua
We pambana upate salary ????
Ila usisahau pesa maua ????
So ukikosa hata usijali ????
One love ❤️ kwa wanangu wa kitaa
Nyie ndio mnanunua CD
Two Love ❤️❤️ kwa wanati wa insta
Mnafanya niongeze bidii
Three Love ❤️❤️❤️ kwa Master na lita
Mlinifanya hasira ???? zizidi
Four love ❤️❤️❤️❤️ njia ngumu nilizopita
Mkanipa na jina, mkasema niitwe, Jeshi!
Konde boy Jeshi
Ila sikuhizi mnaniita Tembo
Jeshi, hata we ni Jeshi
Yaani kama huna pigo za kirembo
Ni Jeshi, konde boy Jeshi
Yaani wanangu wananiita Tembo
Jeshi, hata we Ni Jeshi
Yaani kama huna pigo za kirembo Ni Jeshi
One love ❤️ kwa wanangu wa kitaa
Nyie ndio mnanunua CD
Two Love ❤️❤️ kwa wanafiki wa insta
Mnafanya niongeze bidii
Naamini mungu yupo, tenaa
Naongea naye japo sauti yake
Nikianguka nitainuka tenaa
So usishangae ???? why Tembo anahustle pekee yake
Coz I know, unapokiokota
Ndio wakati wa kutunza
Ili kesho kisijepotea????
Na unaposota ndo wakati wa kujifunza
Ni wapi ulipokosea ????
Sio Kama siwezi kujibizana
Ila mwenzenu nimeumbwa na subira
Cheki madili yanavyogongana
Coz nyota ???? yangu ni Libra
Mbona siwaoni walotumwa kunitukana
Vichwa vyao viko kibra
Tena sikuhizi hata siimbi Sana????????
Acha washindane na Ibraah ????
I say, One love ❤️ kwa wanangu wa kitaa
Nyie ndio mnanunua CD
Two Love ❤️❤️ kwa wanafiki wa insta
Mnafanya niongeze bidii
Three Love ❤️❤️❤️ kwa Master na lita
Mlinifanya hasira ???? zizidi
Four love ❤️❤️❤️❤️ njia ngumu nilizopita
Mkanipa na jina, mkasema niitwe, Jeshi!
Konde boy Jeshi
Ila sikuhizi mnaniita Tembo
Jeshi, hata we ni Jeshi
Yaani kama huna pigo za kirembo
Ni Jeshi, konde boy Jeshi
Yaani wanangu wananiita Tembo
Jeshi, hata we Ni Jeshi
Yaani kama huna pigo za kirembo Ni Jeshi
One love ❤️ kwa wanangu wa kitaa
Nyie ndio mnanunua CD
Two Love ❤️❤️ kwa wanafiki wa insta
Mnafanya niongeze bidii
Konde boy
Amaboko Lyrics – Rayvanny Ft Diamond Platnumz
Jeshi Lyrics Harmonize – Download Mp3 Audio