Home NEWS Jegi Lyrics – Rico Gang Ft VDJ Jones – New Song 2019

Jegi Lyrics – Rico Gang Ft VDJ Jones – New Song 2019

0
Jegi Lyrics

Jegi Lyrics – Rico Gang Ft VDJ Jones

Intro Chorus

Ati Cheki hizo Jegi
Aya ya ya ya ya ya
Mi napenda hizo Jegi
Aya ya ya ya ya ya ya
Huyo dem ana Jegi
Owecha, aii mmh owecha
Ati Cheki hizo Jegi
Aiii owecha
Ati Cheki hizo Jegi
Aiii owecha
Ati Cheki hizo

Jegi Lyrics Verse One

Oyah oyah ni Fuaka Master
Nabonga chafu ni ka nimemeza duster
Rungu strong CD yangu huwanga plaster
Sicum haraka kama projo za Gava
Madem wengi kama Solomon
Ukiwachwa basi Solo mon

Kama David buda mi hustone
Ka ni bash niko ndani kama thong
Nikimkeba namwaga madhamange
Akiteta nakemba hadi madha yake
Abdalla kasimama pekee yake
Ako na haga lakini..

Chorus

Ati Cheki hizo Jegi
Aya ya ya ya ya ya
Mi napenda hizo Jegi
Aya ya ya ya ya ya ya
Huyo dem ana Jegi
Owecha, aii mmh owecha
Ati Cheki hizo Jegi
Aiii owecha
Ati Cheki hizo Jegi
Aiii owecha
Ati Cheki hizo

Jegi Lyrics Verse Two

Hizi Jegi
Nazinasa tu kama Keki
Matwins nazipapasa tu kila wikendi
Already nishasimama mi nimestendi
Majegi zimesimama ka Eveready
Dem una Jegi mbaya mbaya
Na wengine wanadai kuzihire hire

Umebeba tools wamebeba wire wire
Ukifika mtaani wanagwaya gwaya
Eeh Cheki mating ting
Vile zimeponda
Zina size biggy mi nashindwa tu kubonga
Baby aheri bi ibed koda
Kaka aneno Jegi inarausha hii nyoka

Chorus

Ati Cheki hizo Jegi
Aya ya ya ya ya ya
Mi napenda hizo Jegi
Aya ya ya ya ya ya ya
Huyo dem ana Jegi
Owecha, aii mmh owecha
Ati Cheki hizo Jegi
Aiii owecha
Ati Cheki hizo Jegi
Aiii owecha
Ati Cheki hizo

Jegi Lyrics Verse Three

Bila Jaba niko macho kama Madha
Kopesha Tala tununue Kishada
Supu ya Jaba na sembe ya Jana
Si eka Kitunguu ju macho isha nyanya
Ka ni Jegi mi ndo Pedi
Si energize Niko Ever ready

Hii ni Oriji si ka za Stella
Na Ex wangu sio Dela
Bash imeshika namedi na Kegosho
Hadi Muratina nakunywa na Kemosho
Hatufanani ka Olipo za Lojo
Na nikipita maboy wanaa..

Chorus

Ati Cheki hizo Jegi
Aya ya ya ya ya ya
Mi napenda hizo Jegi
Aya ya ya ya ya ya ya
Huyo dem ana Jegi
Owecha, aii mmh owecha
Ati Cheki hizo Jegi
Aiii owecha
Ati Cheki hizo Jegi
Aiii owecha
Ati Cheki hizo

Aiii owecha, Aiii owecha
Aiii owecha, Aiii owecha

ALSO, SING TO Maria Citizen Song Lyrics – Maria Citizen TV Series