Its Ok Lyrics – Zzero Sufuri – New Song 2019
Yoh yoh ni Zzero
Kama sos mi ni sos
Mi ndio boss
Mi ndio Worldboss
Its Ok Lyrics Chorus
Kama unapenda kujinice usijifunge
Put up your hands and sing its ok
Unajibamba na magaldem kwa parte
So we haffi tell them say, Its Ok
Kama unapenda kujinice usijifunge
Put your hands up and sing its ok
Unajibamba na magaldem kwa parte
So we haffi tell them say, Its Ok
Leo today
Party we a party
Like its holiday
Already in a weekend
Call your friends
Call me friends and dem di friends
Its Ok Lyrics Verse One
Nikuikata kata naikata
Nikichocha chocha zinishike
Zinishike hadi zilipuke
Ikate morio bana usishtuke
Form ni liqour chunga kutapika
Kunaeza badilika na zikikushika
Wika na ukiulizwa unasema ni kubambika
Na ukibambika tu unakaribia spika
Si ni ka bash cheki vile wasee wamechrome
Na wako na zote si kunanuka mandom
Na dem akikubamba usiogope bado kumuita
We mkute kimangoto ka umemshika
We mkute na uhakikishe amekuskiza
Mwambie ukweli hata kama hautamuingiza
Mwoneshe skiza, iza tunaeza enda bado nikubuyie pizza
Si siri si unajua umenimariza
Tukiwa na wewe jo unaweza turiza eeh
Chorus
Kama unapenda kujinice usijifunge
Put up your hands and sing it is okay
Unajibamba na magaldem kwa parte
So we haffi tell them say, Its Okay
Leo today
Party we a party
Like its holiday
Already in a weekend
Call your friends
Call me friends and dem di friends
ALSO, SING TO Tandika Lyrics – Wakuumusic, Maddox, The only delo
Its Ok Lyrics Verse Two
Cheki, heri mdogo ukienda mbio utaharibu
Hakuna kitu ngumu kujaribu
Mi hukuwa rada ata ka bado uko mavitu
La muhimu ni kugive thanks kila siku
Si hizi ndo zile moja ya zile siku
Masiku sikuwa najua itaja kuwa
Kwanza nikikumbuka vile nilikuwa nikichomwa na jua
Saa hizo nimeshinda njaa
Zangu mzito nikimwomba anakataa
Stima kwangu kukatwa ju budget ilikuwa ni ya taa
Mboka zote kuruka kazi yeyote sikukataa
Siku hizi mi huishi iko fiti na ninakaa vile inafaa
Nishapunguza ufisi na nikaachanaga tamaa
Siku hizi hadi nina ofisi na nikaandikaga Kamaa
Na ju bado ako na moto itabidi amewauzia makaa
Big up ka una kipaji na unajua unago far
Chorus
Kama unapenda kujinice usijifunge
Put up your hands and sing its ok
Unajibamba na magaldem kwa party
So we haffi tell them say, Its Ok
Kama unapenda kujinice usijifunge
Put your hands up and sing its ok
Unajibamba na magaldem kwa party
So we haffi tell them say, Its Ok
Leo today
Party we a party
Like its holiday
Already in a weekend
Call your friends
Call me friends and dem di friends
Outro Verse
Ati hii ni ya mashada na kuroll ndio janta
Nakuwaga na malori na mapick-up NACADA
Nakuwaga na maverse ndani ya beat sijai hata
Dagoretti namba mbili si ndio utanipata
Yoh ni kubaa
Credit