Iokote Remix Lyrics by Maua Sama and Rostam – Download Mp3 Audio
Verse One
Hey Heeeeey
Oouuuhhh yeah
Ah basi usikunje goti wala kuchechemea
Bandisha mashetani mi ndio bingwa kukemea
Usiombe nikila nyagi halafu nikavuta na mea
Utaniita mr. miagi kila style unapopewa
Mi nipe sarakasi za kichina
Iokote nidate hadi niimbe mama amina
Izime switchi iokote ni kwichi kwichi
Ipime izame ndichi nyoki ni mbichi mbichi
Iokote
Tatizo mama ni nini
Sinywagi mchuzi wa pweza
Ila pweza inaninywa mimi
Iokote
Taratibu ukiwa chini
Tena ipake na mafuta
Iwe softi ikiingia mwilini
Iokote
Kasongo miksa munene
Nikupeleke hadi bukoba
Katerero ndembe ndembe
Iokote
Wananiita mandingo
Mzee baba
Kwenye ulingo navunja mpaka chaga
Kwa kicho mi nikande
Kwa moto baridi zigande
Kama ruba nigande
Tuwe wote eeh
Aah come baby come babe
Msumali kwa nyundo nigonge
Ohh Monday to Sunday
I love you
Chorus
Mmm ooh basi iokote
Kwa bedi kwa kochi
Kitanda naitumia iokote
Nikiona kwa juu chini naizamia iokote
Sungura nipe Karoti
Marage sijazoea iokote
Nakoza goti napandisha mori
Nachechemea
Uuuu yeah
Baby, beiiiibe
Verse Two
Ukitoka kuoga nitengee
Ya moto moto
Tingaa moka kitenge
Tutoke mtoko
Aaaaah
Border kwa border tutembee
Chuchu kwa chuchu
Tena nikichoka nibebe
Mi kwako mtoto
Aiiiye eeh
Ah fundi wa chemba hudambwi dambwi, aeee
Amri ya sita ni dhambi dhambi, nayee
Kileleni toa rambi rambi
Mmm mambo ni moto moto
Heey
Refa kakupa penalti aah aaheeeh
Mpira ushawekwa kati aah aaheeh
Nahitaji magoli kwa chenga zako
Piga shuti nikudakie
Haya maji wapi nimwage
Kama amepigwa na shoti
Si amebandika maraga
So njoo imenye karoti
Naona mbuzi kagoma
Sasa unaikanyaga noti
Na bado hujakoma chunga
Utaloa ukiichezea Coke
Kasongo miksa munene
Nikupeleke hadi bukoba
Katerero ndembe ndembe
Wananiita mandingo
Mzee baba
Kwenye ulingo navunja mpaka chaga
Chorus
Mmm ooh basi iokote
Kwa bedi kwa kochi
Kitanda naitumia iokote
Nikiona kwa juu chini naizamia iokote
Sungura nipe Karoti
Marage sijazoea iokote
Nakoza goti napandisha mori
Nachechemea
Uuuu yeah
Baby, beiiiibe
Iokote Remix Lyrics by Maua Sama and Rostam
ALSO, SING TO – Mchuchu Lyrics ā Hamadai Ft Aslay