INDE Lyrics – Breeder Lw, Jimito & Benzema( Ochungulo)
Son of Ojukaa
Me naitwa Jimito
Bazenga
Alehandro
INDE Lyrics – Jimito
Stori mob utaacha oyah Sipendi watiaji
Niko geji niko ngendo niko maji
Niko fly ligi soo katikati
Natoka far buda cheki forty forty
Baby kwa club hunihati
Me hupenda ma mama faty faty
Me huchana moguka si mambatii
Just give me five wacha wasi wasi
Chorus
Walidai tuko inje
Kumbe tuko INDE INDE INDE
Walidai tuko inje
Kumbe tuko INDE INDE INDE
We washa, we washa tu
Kumbe tuko INDE INDE INDE
We washa, we washa tu
Kumbe tuko INDE INDE INDE
INDE Lyrics – Breeder LW
Bazenga niko area ka mbwa koko
Nina nyoka ndani ya toja kolombo
Ukifika ligi niko ndo utaknow bro
Kuna vitu siezi fanya ata nikiwa kwa ndoto
Ka kuchoma mboto kutasti vodoo kunyimana lolo
Na kudeal kikolo
Step out all black kama blade na Zoro
Wasanii maburny tutawatoa kwa soko
Iset na ukipuff na ukipass bila zogo
Na kama undercover nishachora fom jo ka kilogo
Mkono tupu apa hakuna kopa nanii
Alinishuku ati nilimwaga ndani
Plan A Harry Kane Plan B Tsunami
Team K nasonganga nakijeshi flani
INDE Lyrics – Benzema
Nipe nipe nipe Puss
Nipe nipe nipe Puss
Class five science ilikuwa na njaroo
Kutuonyesha vagina ndani ya daro
Mode ameweza kivakoo
Mini ingine naona hiyo mtaro
Uko na dhidhi kwa bone murrow
After sex kucuddle kwa wheelbarrow
Stori zangu za media hazikuwangi chocha
Nahitaji orienting incase upate comma
Alehandro Mr. Bakora
Uliza Obako alikuwa gofa
Choo za kumi tao hukuwa na aroma
Aroma ya Kishada
Aroma ya Kishada
Chorus
Walidai tuko inje
Kumbe tuko INDE INDE INDE
Walidai tuko inje
Kumbe tuko INDE INDE INDE
We washa, we washa tu
Kumbe tuko INDE INDE INDE
We washa, we washa tu
Kumbe tuko INDE INDE INDE
ALSO, SING TO Nataka Lyrics – King Kaka & Odi wa Murang’a
Credit
Breeder LW
Jimito
Benzema ( Ochungulo Family)