We have written the best Hodari lyrics below. You will without doubt fall in love with our hodari lyrics. Enjoy and remember to come back for more sweet lyrics. We provide the best lyrics.
Lah lah laah lah
la la lah lah
Lah lah lah
Laah lah
Verse one
Shombe shombe
Mtoto laini laini
Anawaka wakaaa.. Aaahh Aha
Wanga wape vidonge
Nimebaini baini
Wana tapa tapaaa…. Aahh Aah Ah
Mmhh
Mi nawe mpaka kiama
Tuombe uzima
Waroge kwa kuchutama
Na wasimame wima
Kamwe hawatapata mwanya
Habithi fitina
Wapike mabilinganya
Si tutoke dinner
Nalegeaaaa
Ukinitazama yako macho
Yako macho
Nalegeaaaa
Ikigusana yangu na yako
Yangu na Yako
Chorus
Katoto hodari
Hodari wa mapenzi
Jamani Hodari
Hodari wa mapenzi
Kwa michezo ya chumbani
Hodaari
Hodari wa mapenzi
Mtundu kitandani
Hodaari
Hodari wa mapenzi
Verse Two
Katoto Nyakanga
Kamemzidi somo na kungwi
Chumbani Kiranga
Kinaishanga komo kirungi
Nisakata makirikiri
Kuniwasha ka pili pili
Fundi haswa amekithiri
Kunipa nilewe
Kwasa kwasa ndani bingiri
Za kukata saga kachiri
Nani haswa unafikiri
Kama si wewe
Nichezeshe kidaruso
Usiku wa manane
Vanga
Nikande kipanda uso
Tufunikane kanga
Nipitishe boda la uko
Tukakutane tanga
Sie pini wao puto
Wasijichanganye
Watapasuka
Nalegeaaaa
Ukinitazama yako macho
Yako macho
Nalegeaaaa
Ikigusana yangu na yako
Yangu na Yako
Chorus
Katoto hodari, hodari wa mapenzi
Jamani hodari, hodari wa mapenzi
Kiuno kunengua, Hodaaari
Hodari wa mapenzi
Bidu kujibidua, Hodaari
Hodari wa mapenzi
Ending
Wema sepetu hodari, hodari wa mapenzi
Uwoya hodari, hodari wa mapenzi
Mama cookie hodari, hodari wa mapenzi
Mama Dangote, Hodarii……
Hodari wa mapenzi
Jack wolper, Hodarii….
Hodari wa mapenzi
Zari mama Tiffah, Hodarii…..
Hodari wa mapenzi
Ooh Esma Khan, Hodaari
Hodari wa mapenzi
Elizabeth michael hodaaari
Hodari wa mapenzi
Artist: Mbosso
See Also: Shilingi lyrics mbosso ft reekado banks