Happy Birthday Lyrics Arrow Bwoy
Happy Birthday Lyrics Verse One
Leo ni ile Siku ya kukula Bata
Aah kula bata
Tembea kama bata
Ringa kama Paka (chii kama paka)
Ulizaliwa leo leo ongeza ladha
Aah ongeza ladha
Kata yako keki kula kisha pakwa
Uuu kisha pakwa ye ye ye
Its your day you better feel nice
We celebrating your birthday
From sunrise to the sunrise
Its a parte after parte
Kilo kilo kilo
Vinywaji kwa kilo kilo kilo
Zawadi kwa kilo kilo kilo
Yeah ye yeah aaahh
Chorus
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Kata keki keki
Kata keki keki
Kata keki keki
Kata keki keki
Kata keki keki
Kata keki keki
ALSO, SING TO Inauma Lyrics Stivo Simple Boy ft Byzzo The Baddest
Happy Birthday Verse Two
Ata more money more money
I wanna spend on you
Its your beautiful day
I wanna spend on you
More Money more money
I wanna spend on you
What a beautiful soul
I wanna spend on you
Tunamshukuru sir God Woshee
Bado una nguvu kwa magoti Woshee
Mizinga na matoti woshee
Cheza ukienda down low, enda down low
Tunamshukuru sir God Woshee
Bado una nguvu kwa magoti Woshee
I say mizinga na matoti woshee
Cheza ukienda down low, enda down low
Chorus
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Kata keki keki
Kata keki keki
Kata keki keki
Kata keki keki
Kata keki keki
Kata keki keki
 Verse Three
Leo ni ile Siku ya kukula Bata
Aah kula bata
Tembea kama bata
Ringa kama Paka (chii kama paka)
Ulizaliwa leo leo ongeza ladha
Aah ongeza ladha
Kata yako keki kula kisha pakwa
Mm kisha pakwa aah
How old are you now?
Are you now?
How old are you now?
Are you now?
Tell us how old are you?
Are you now?
How old are you now?
Are you now?
Kata Keki
CREDIT: ARROW BWOY