Home NEWS Gusanisha Lyrics – Gnako Ft Maua Sama – New Song 2020

Gusanisha Lyrics – Gnako Ft Maua Sama – New Song 2020

0
Gusanisha Lyrics

Gusanisha Lyrics – Gnako Ft Maua Sama – Download Mp3 Audio

Verse One

Twende gusa, gusa
Eeeh gusa, gusa,

Gusanisha, gusanisha,

Gusanisha,
Hasi na chanya Gusanisha,
Panya na paka Gusanisha,
Nyama kwa nyama Gusanisha
Mama weee

Mabaharia toka busa tulifika
Waweke fensi tunarukaga ukuta
Kama mafisi hatuachagi hata mifupa
Mifupa

Cha mtu mavi wanashikaga ukuta
Bia tatu ila baadae utajuta
Kama ulipinga basi leo tunafuta
Eeeh tulifuta

Watu wanaruka majoka huko(Mama)
Viuno vimefungwa mota hivyo(Haya)
Si kuchafua na boxer huko
Mjomba katangaza ndoa huko

Ahee, ahee, mama ahee
Ahee, ahee, gusa ahee
Hapo gusa unase, gusa unase
Twende gusa unase, gusa unase

Chorus

Gusanisha,
Hasi na chanya Gusanisha,
Panya na paka Gusanisha,
Nyama kwa nyama Gusanisha
Mama weee

Verse Two

Oyaa kanyagia
Hatari ya moto inaunguza
Kucha simamia
Mgambo wangu rungu suuza

Nigande nigande kama ruba
Nipe mahaba na huba
Wasema umetoka busaa
Bemba bembea buruzaa

Mambo iyente yente, teke teke
Ongeza makeke kwa mahali pake
Chombeza nele, kitunde gede
Chumbani karate mixer mateke

Usije ukanisusa
Napenda ukinigusa
Safari nafika
Hasa ukinikoleza, ayee

Chorus

Gusanisha,
Hasi na chanya Gusanisha,
Panya na paka Gusanisha,
Nyama kwa nyama Gusanisha
(Mama weee)

Gusanisha, gusanisha

Gusanisha,
Hasi na chanya Gusanisha,
Panya na paka Gusanisha,
Nyama kwa nyama Gusanisha
(Mama weee)

Gusanisha Lyrics Credit – Gnako and Maua Sama

ALSO, SING TO – Medicine Lyrics – Hemedy Phd – New Song 2020