Gubu Lyrics – Killy Ft Alikiba
Gubu Lyrics – Killy
Hasira hasira za nini
Naomba urudishe moyo
Wako nyumaa
Naathirika mie
Kwa nini eeh kwa nini
Njoo tuzifute tofauti zetu
Mi nawee
Nisikokubali adhabu penzi
Ile silioni
Nimegundua ulinishusha daraja
Litie huruma dhahiri
Ukweli vile litangatanga kukicha
Nilikosa nini hunnie
Hadharanii kumbe bado
Unamshika mkono Ambalee
Baba nanii naye anajilia
Hata ndanii Gubu la nini mama
Mama eeeeh
Kisiranii funzo sofunzika
Mama oooh aah eeeh
Matatizo, Gubu la nini
Mama eeh
Matatizo, Gubu la nini
Mama eeh
Killy Killy Killy Killy Killy Killy
Killy Killy Killy Killy Killy Killy
Gubu – AlikibaÂ
Azabu Killy
Kisa livonichanganya
Sioni sisikii
Nimejaribu nimekwama
Hata juzi juzi alilewa sana
Akalala Bar vile vile
Mi nilimpenda kweli ooh
Oooh ooh ooh oo
Ni kama ana mapepo pepo
Ya baharini
Shida shida shida gani
Hivyo ndo alivyo oooh
Ooh ooooo ooo
Hadharani kumbe bado
Unamshika mkono ambaye
Baba nanii naye anajilia
Hata ndani Gubu la nini mama
Kisiranii funzo sofunzika mama
Matatizo, Gubu la nini mamaa
Mama leo matatizo
Matatizo, Gubu la nini mamaa
Mama leo matatizo
Gubu la nini yooooo
Ooooh ooouuo aaaah
Matatizo, Gubu la nini ooh
Mama eeeh
Eeeeh aaaaaeeee
ALSO, SING TO Wanawake Lyrics – Best Naso – New Song 2019