Home NEWS Glory Lyrics – Nyashinski

Glory Lyrics – Nyashinski

0
Glory Lyrics

Glory Lyrics by Nyashinski – Download Mp3 Audio

Glory si hupea God
Lawama shetani na bangi
Mamember hurudi home na hope
Pastor anaenda na ganji

Small talk yukuwa job
Ubaya ni hailipangi
Nimemaintain najiskizia
Msiniite kaamnikanji

Verse One

Hi ni miracle baby
Naona nikamnanidare
Mahali nlikuwa mi sikuwa ata na-care
Pembe zao zikaanza kumea sa

Wakinitaja nakwanga aware
Clout wanatafta naezawapea
Lakini staki so siwapei
Wata-learn kujitegemea

Usiconfuse ile ujuaji nakuona nayo na confidence
Kama ushachange na unapewa lift
Sijui utakuwa nani ukibuy kibenz
Kaushaforgive usiwai revenge

Kauwezi swim usidive deep end
We jiconvince unafanya kazi
Mi niko kazi we jali kutrend

I’m dope like
Who you Imagine you’re dope like
Who you’re discussing at home like
Takeover game bila cosign

Most of my day niko offline
Nalive life wanarap
F Y I sina whatsapp
But Kuna wiFi na kuna bag so

Chorus

Glory si hupea God
Lawama shetani na bangi
Mamember urudi home na hope
Pastor anaenda na ganji

Small talk yukuwa job
Ubaya ni hailipangi
Nimemaintain najiskizia
Msiniite kaamnikanji

Verse Two

Sijaidu cocaine, sijai dunga vein
Mokoro hafai kucomplain
Tangu niende solo si life imechange
Style iko juu ata kaa tisho ni plain

Unasaka doo unaona tiko ni fame
Ubaya tu mwisho ni pain
Mmetii tangu niingie game
Na hapo tu ndo mnaremain

Society iko hapa inablame
Shida za Society kwa maryjane na kitu
Society inahitaji main
Ni kuepuka poverty na hizo machain

Mnafunga wajunior nazo kwa brain
Na juu sio za chuma mnaona ni game uh
Mnaogopa kukuwa irrelevant
Hiyo mi nishajitrain
F*** it!

Chorus

Glory si hupea God
Lawama shetani na bangi
Mamember urudi home na hope
Pastor anaenda na ganji

Small talk yukuwa job
Ubaya ni hailipangi
Nimemaintain najiskizia
Msiniite kaa hamnikanji

Verse Three

I’m sorry I might’ve missed your call
Misivutangi trees na bong
Nimekuwa mkali since day one

Siwezi badilisha form
Expert pay me in cash, hii next part
Nimeisema so much inafaa kuwa sing along
Kaunikanji misperform

Team Mzima ina celebrate
Like we planned it all along
Bado tunaelevate
Jua tu saa hii far from done

Vision nikimeditate
Najionanga number one
Na hii apa si democracy
And my time in office just begun

Glory mi hupea God!

Glory Lyrics by Nyashinski

ALSO, SING TO – Dunda Lyrics – Sailors

Leave a Reply