Home NEWS Foto Moto Lyrics – NOTI FLOW FT BENZEMA

Foto Moto Lyrics – NOTI FLOW FT BENZEMA

0
Foto Moto Lyrics

Foto Moto Lyrics by Noti Flow and Benzema

Introduction

Piga picha piga picha piga picha
Smile for the camera
Piga picha piga picha piga picha
Pose for the camera

Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to

Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to

Verse One

Alehandro, Noti
Si unajuwa we ni ndoto
Nikicheki hizi photo zako
Zinanipea mandoto

Mtoto Noti umenichanganya
Naota usiku ukinifanyaga, fanyanga!
Yea ukinikanyaga
Utanipenda kama boil ama karanga?

Senor Alehandro
You have a visitor, its Noti Flow
Amekam bila ngodha na nyong’inyo
Nimekam bila ngodha na nyong’inyo

Basi sawa tukandane
Tumezane tufinyane
Niko na first aid kit iko na funnel
Moods zangu ziko KBC Channel

Chorus

Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to

Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to

Verse Two

Pata verified account
Utapata more likes without a doubt
Watasema uko after fame hiyo si clout
Arimis is your best friend saa ya drought

Kuja leta fom niko na mandom
Kejani niko solo
Kuja leta fom niko na mandom
Kejani niko solo, nanukia cologne

Noti the Flow umekuja kutaka
Chief Inspector umekuja kutapa
Quarantine quarantine
Kondiko zimeisha hadi kwa canteen

Unajuwa Akothee
Niko na picha zake akipigwa ndolee
Tuache aibu za kudinyana kwa choche
Busta Rhymes alipatikana Oyole

Chorus

Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to

Foto moto
Inaleta ndoto moto
Foto motooo
Mo to to

Piga picha piga picha piga picha
Smile for the camera
Piga picha piga picha piga picha
Pose for the camera

Foto Moto Lyrics by Noti Flow and Benzema

ALSO, SING TO – Yes Bana Challenge Lyrics – Juala Superboy, Madboss Ke

Leave a Reply