Home GENERAL Forget You Lyrics – Bensoul

Forget You Lyrics – Bensoul

0
Forget You Lyrics

Forget You Lyrics by Bensoul – Download Mp3 Audio

Mmmm Mmmm
Mmmm Mmmm

I’ll never forget you
I’ll never pretend to
Tumepita kwenye jua
Tumepita kwenye mvua

You’ve always been so true
Since you came through
Heri ungejua
Mwingine sitajua

Saa zile mi hukuwazanga sana
Picha zinakuwanga za maana
Yule anapanganga ni maulana
Na so siwezi ngoja

Mpaka vile tutaonana
Na na na na na na na
Mpaka vile tutaonana
Na na na na na na na

Oooooo
Na na na na na na na
Oooooo
Na na na na na na na

Show me the green light
Tell me you’re alright
Je uko na dawa?
Umepiga shower

You can be dark night
I will be your moon light
Hata bila power
Tutakuwa sawa

Na kama unaniwazanga sana
Mi na wewe tunafanana
Najuwa pia wewe unang’ang’ana
Na so siwezi ngoja

Mpaka vile tutaonana
Na na na na na na na
Mpaka vile tutaonana
Na na na na na na na

Oooooo
Na na na na na na na
Oooooo
Na na na na na na na

I’ll never forget you
Ooooooouwo
I’ll never pretend to
Yeeah eeeh

Na na na na na na na na
I’ll never forget you
Na na na na na na na na
And I’ll never pretend to
Na na na na na na na na
You’ve always been so true
You’ve always been so true

So I’ll never forget you

Forget You Lyrics by Bensoul

ALSO, SING TO – Corona Roots Lyrics – Padi Wubonn

Previous articleYvonne Okwara Biography and Background Information
Next articleBaby Girl Lyrics – Msami Ft Alice