Extravaganza January Parody Lyrics – Dogo Charlie
Aee January imefika, mlijibamba sana mwezi wa december
Karibuni kwenye mwezi wa msoto na cabbage alipofika alifunika eeehh
Waliringa na nyama mpaka wenzetu huko wakaoza iyee
Walinyonya mifupa hawakujua january inakuja iyee
Wakatufanya salad hawakujua salad ndio sisi iyee
Wakafinya msosi wakatuficha sisi mezani
Aee January imefika, mlijibamba sana mwezi wa december
Karibuni kwenye mwezi wa msoto na sukuma alipofika alifunika eeehh
Walifunga virago wakatuacha kwa shamba ushagoo
Wakaishia tao kumbe ni sisi huwalisha tao
Wakafika makwao token zinalia kwenye ground floor
Na tuwe lishe kwao tunaongezwa wamekosa nyama
Aee January imefika, mlijibamba sana mwezi wa december
Karibuni kwenye mwezi wa msoto na Avocado alipofika alifunika eeehh
Wakaja na kaimati hawakujuwa sisi ndo kamati eeh
Wakaja na siagi wakapata tuko juu kwa ligi eehh
Ngozi yangu laini unanitoa ngozi pole pole eehh
Unile na githeri mimi siwachi nafasi
Aee January imefika, mlijibamba sana mwezi wa december
Karibuni kwenye mwezi wa msoto na Mahindi alipofika alifunika eeehh
Wakaenda kwa duka wakanunua unga za chapati eeh
Wakaja na makeki wakakula makeki na mathwiti
Kiporo ye ye ye hata wapike chai tunashinda chapati
Magoko ye ye ye hata kahawa inajua si ni nani
Wakitudondoa, mnadondoka
Wakituanika, mnakauka
Wakitushaga, mnashagika
Na wakitukula, mnakulika
Aee January imefika, mlijibamba sana mwezi wa december
Karibuni kwenye mwezi wa msoto Karibuni kwenye mwezi wa msoto
Aee January imefika, mlijibamba sana mwezi wa december
Karibuni kwenye mwezi wa msoto Karibuni kwenye mwezi wa msoto
Mbona mnakula double double double
Hapana choma mahindi kwa petrol station
Kabla ukule nyingi cheki situation
Hapana kula mapera kwa pupa
Mbona mnakula double double double
Nyumba hujalipa is a no go zone
Kabla utoke ocha piga attention
Nairobi gumboots itachoma picha
Mbona mnakula double double double
Hapana choma mahindi kwa petrol station
Kabla ukule nyingi cheki situation
Hapana kula mapera kwa pupa
Mbona mnakula double double double
Nyumba hujalipa is a no go zone
Kabla utoke ocha piga attention
Nairobi gumboots itachoma picha
Extravaganza January Parody Lyrics Credit: Dogo Charlie Layon Media
ALSO, SING TO: Cheza Lyrics – Theonlydelo – New Song January 2020