Home NEWS Dunda Lyrics – Sailors

Dunda Lyrics – Sailors

0
Dunda Lyrics

Dunda Lyrics by Sailors – Download Mp3 Audio

Introduction

Uuuuuu uuuuuuu
We Mavo ni waturaga
We utatuua Oka!
Mavo on the Beat

Leo kuparty ni dunda na madem toka Runda
Bibi ya Onjivo dunda, amekam kunimunda
Ati leo kuparty ni dunda na madem toka Runda
Bibi ya Onjivo dunda amekam kunimunda

Chorus

Aina ainametereng Dunda
Nimtutha tutharetereng Dunda
Aina ainametereng Dunda
Nimtutha tutharetereng Dunda

Aina ainametereng Dunda
Nimtutha tutharetereng Dunda
Aina ainametereng Dunda
Nimtutha tutharetereng Dunda

Verse One

Nikaribishe mzinga tumbler
Na kishisha nikaa day nani tyma ya kujiburudisha
Ndo nisete matot huku zikishika
Ju mi ni guzler mgathirange, guzler mgathirange

Na sijui kuliendaje nalalanga kwa mtaro
Na nikilala kwa bedi nimeteka kimtaro
Tinjo tinjo zangu ni za rabo
Tinjo tinjo zangu ni za rabo
Sema, tinjo tinjo zangu ni za rabo

Leo kuparty ni dunda na madem toka Runda
Bibi ya Onjivo dunda, amekam kunimunda
Ati leo kuparty ni dunda na madem toka Runda
Bibi ya Onjivo dunda amekam kunimunda

Chorus

Aina ainametereng Dunda
Nimtutha tutharetereng Dunda
Aina ainametereng Dunda
Nimtutha tutharetereng Dunda

Aina ainametereng Dunda
Nimtutha tutharetereng Dunda
Aina ainametereng Dunda
Nimtutha tutharetereng Dunda

Verse Two

Nilishafyatu na fwaka Ghai fafa
Itaharibu buruwein ka imewaka
Dame yako tu ametekwa tu na makanga
Hii hii inakaa matanga

Naskia rao mlangoni
Pipi songa ni mahoni
Titi pigwa miti nina njoti
Kipi siunyamaze ni maoni
Kipii una ngozi na umenyonji
Teepee nitatumia nikigwara ngozi

Leo kuparty ni dunda na madem toka Runda
Bibi ya Onjivo dunda, amekam kunimunda
Ati leo kuparty ni dunda na madem toka Runda
Bibi ya Onjivo dunda amekam kunimunda

Chorus

Aina ainametereng Dunda
Nimtutha tutharetereng Dunda
Aina ainametereng Dunda
Nimtutha tutharetereng Dunda

Aina ainametereng Dunda
Nimtutha tutharetereng Dunda
Aina ainametereng Dunda
Nimtutha tutharetereng Dunda

Verse Three

Pedi wa Runda kingpin wa mangwai
Ka Zero zimeshika zimwewahi
Niko dudu niko zone niko ngyaai
Zikishika ziushuka na kachai

Katanisha ukirombosa na mutaratara
Mi hupenda kukagonya ka mfara fara
Na katuri na katesa tu mpara mpara
Aah wee yoh taurahara

Chorus

Aina ainametereng Dunda
Nimtutha tutharetereng Dunda
Aina ainametereng Dunda
Nimtutha tutharetereng Dunda

Aina ainametereng Dunda
Nimtutha tutharetereng Dunda
Aina ainametereng Dunda
Nimtutha tutharetereng Dunda

Dunda, Dunda dunda Dunda, Dunda dunda Dunda, Dunda dunda

Dunda Lyrics by Sailors

ALSO, SING TO – Utawezana Cover Lyrics – Mr. Bloom

Leave a Reply