Home NEWS Dodo Lyrics – Alikiba

Dodo Lyrics – Alikiba

0
Dodo Lyrics

Dodo Lyrics by Alikiba – Download Mp3 Audio

Verse One

Kupenda ni vitendo
Si maneno maneno
Leo nakupa kitengo
Kwa kufika malengo

Umeziba mapengo
Kwa upendo upendo
Ee bwana wana singo ee
Anzeni vikao vya sendoff yea

Maana we mrembo nakujuza
Mama nashukuru umekuza
Chanda mapete nakutunza
Na maa ngoja wote waburuza

Chorus

Na umeshanizima
Na yoyoyoyoyo
Your love
Na yoyoyoyoyo your love
Na yoyoyoyoyo
Your love
Your love your love

Na umeshanizima
Na yoyoyoyoyo
Your love
Na yoyoyoyoyo your love
Na yoyoyoyoyo
Your love
Your love your love

Dodo langu baby
Nikitikisa halitondondoka

Verse Two

Ka majani na udongo yeah
Nje ya sayari ningekuita kimondo oooh
Kama chungu ya kibongo
Na usiyape time yakutibue nyongo No

Maana we mrembo nakujuza
Maana nashukuru umekuza
Chanda chema pete nakutunza
Na maa ngoja wote waburuza

Chorus

Na umeshanizima
Na yoyoyoyoyo
Your love
Na yoyoyoyoyo your love
Na yoyoyoyoyo
Your love
Your love your love

Na yoyoyoyoyo
Your love
Na yoyoyoyoyo your love
Na yoyoyoyoyo
Your love
Your love your love

Verse Three

Dodo,
Mama dodo (Dodo langu wewe)
Dodo,
Mama dodo (Hata utikisa halitodondoka)
Dodo,
Mama dodo (Dodo langu wewe)
Dodo, mama dodo (Dodo)

Dodo, dodo
Langu wewe
Dodo, dodo, dodo langu wewe
Hata utikisa halitodondoka Dodo
Dodo dodo dodo

Mama muogopa, mama muogopa
Mama muogopa, mama muogopa

Dodo Lyrics by Alikiba

ALSO, SING TO – Hallo Lyrics – Hemedy Phd

Leave a Reply