Home NEWS Dhudha Lyrics – Ssaru – Official Music Lyrics

Dhudha Lyrics – Ssaru – Official Music Lyrics

0
Dhudha Lyrics
Dhudha Ssaru

Dhudha Lyrics – Ssaru – Download Dhudha by Ssaru mp3 audio

Dhudha
Nikona dhudha
Do you have dhudha
Dhudha dhudha

Nikona dhudha
Nikona dhudha
Do you have dhudha
Dhudha dhudha

Verse One

Nahurumia hao ma rapper wanatapa tapa
Ka umekosea njia bro pia unaweza nifuata
Nifollow nifollow mi ndo cardi hapa
Mi ndio queen kwa hii game
Mi ndio nyi mnataka

Queen B machine nasail kama Bata
Nyi ni mratina mi ndio wine hapa
Hii ndio routine inaniguide sasa
Mi ndio nafeel hii ni hit song bana aah

Ongeza volume wacha mi ndio nikubambe
Nikona kinyaru hapa huku ni kabambe
Halafu niko in love na chali mkambez
Saa ni shhhh shhh kachain katambe

Mangeus washa undress
Hizo paka zigande
Peana hiyo kitu from monday to sunday
Toa hiyo kutu ndio rungu ing’are
Leta hiyo du du nataka nikukande

Chorus

Dhudha
Nikona dhudha
Do you have dhudha
Dhudha dhudha

Nikona dhudha
Nikona dhudha
Do you have dhudha
Dhudha dhudha

Verse Two

Ssaru wa manyaru nimekuja kuwakuta aah
Na ki subaru nyi wote mshashtuka aah
Mi ndio guruki nyi wote mnaiga aah
So ka ni ushuru mnahave kunilipa aah

Sikuhizi nimepanda bei mziki inalipa
Naogopa hizo madeni nyi huwa mnakopa
Ligi ya gold sio silver na copper
Na sina ball though niliacha kunyesha

Sitaki ketepa nitashindwa kucheka
Hata nigga kwa club atashindwa kuniteka
Sa labda ki bazenga ndio kinishike mateka
Kika nisunde base halafu kianze kunitesa

Halafu nyi wote ma hater hamnipi pressure
Nataka tu pesa nianze kutesa
Ni ma look mwenda niwakunywe bila chesa
Si unipe kinyaru nikusunde kwa chamber

Chorus

Dhudha
Nikona dhudha
Do you have dhudha
Dhudha dhudha

Nikona dhudha
Nikona dhudha
Do you have dhudha
Dhudha dhudha

Dhudha
Nikona dhudha
Do you have dhudha
Dhudha dhudha

Nikona dhudha
Nikona dhudha
Do you have dhudha
Dhudha dhudha

Dhudha Lyrics Credit – Ssaru

ALSO, SING TO – Power Lyrics – Muthoni Drummer Queen – Official Lyrics

Leave a Reply