Home NEWS DanHela Lyrics – AY – New Song 2020

DanHela Lyrics – AY – New Song 2020

0
DanHela Lyrics

DanHela Lyrics – AY – Download mp3

Haya Haya Haaaaa…..

DanHela
Inaonyesha kabisa hupendi watu
Sogea… (Karibu)
Bila wewe jua Maisha si kitu
DanHela… Ooh Ooh
Inaonyesha kabisa hupendi watu
Usijepotea… (DanHela)
Bila wewe jua maisha si kitu hayaya

Nimekubamba wanakutongoza
Kila mmoja anakuhitaji uwe kwa-ke
Wengine mpaka wana-kuvusha border
Ili mradi kwao we ulai-nike

Shughuli ni watu
Na mimi si kiatu (DanHela)
Niahidi kitu
Hutoniacha mtupu

Kila nikikuona moyo wangu haujiwezi
Na mimi siku moja nitaenjoy lako penzi (DanHela)
Muda mwingi nakuwaza niwe macho au kwa njozi
Naamini siku moja nitaenjoy  lako penzi (DanHela)

DanHela
Inaonyesha kabisa hupendi watu
Sogea… (Karibu)
Bila wewe jua Maisha si kitu
DanHela… Ooh Ooh
Inaonyesha kabisa hupendi watu
Usijepotea… (DanHela)
Bila wewe jua Maisha si kitu hayaya

Wengine
Unawafanya wanapaa
Wengine
Chali miguu juu
Wengine
shida boom bye bye
Wengine kila siku resi tu

Njoo Wee… Unasakwa na wanaume
Njoo Wee…Ndugu wanagombana si basi uchune
Wote unaoishi nao ni lazima wavume
Haya-Haya aaaaa…

Boomba
Na-ni asiyependa Vumba
Usipolisaka utakula Pumba
Lenye Ubani haliwezi Vunda
Utachunda.

DanHela.. Ooh Ooh
Inaonyesha kabisa hupendi watu
Sogea… (Karibu)
Bila wewe jua Maisha si kitu
DanHela… Ooh Ooh
Inaonyesha kabisa hupendi watu
Usijepotea… (DanHela)
Bila wewe jua Maisha si kitu hayaya

DanHela Lyrics Credit – AY

ALSO, SING TO – Na Nusu Lyrics – Nandy – New Song 2020

Leave a Reply