Dance ya Kanisa Lyrics – Moji Shortbabaa
Dance ya Kanisa – Moji Shortbabaa – Verse One
Oya, oya
Ni Shorti baba
Ayayaaa,, hii ni dance ya kanisa
Oyoyo, hii ni dance ya kanisa
Dance ya kanisa, Dance ya kanisa
Dance ya kanisa, Dance ya kanisa
Dance ya kanisa, Dance ya kanisa
Aah, hii ni dance ya kanisa
Dance ya Kanisa – Moji Shortbabaa – Verse Two
Aah, mi ni boy wa kanisa
Aah, na nimekam kuchachisha
Aah, napenda yesu kabisa
So nitado dance ya kanisa
Wasewase, aah
Hii inaanzia wazee, aah
Wasewase, dance ya kanisa
Kila msee,
Haiya basi tuende tuendete
Dance ya Kanisa ieleweke
Mapenzi ya baba itendeke
Kama mtu hajashika usimcheke
Haijalishi we ni nani
We huenda church gani
Unapenda yesu nanii
Kuja basi dance nami
Ayayaaa,, hii ni dance ya kanisa
Oyoyo, hii ni dance ya kanisa
Dance ya kanisa, Dance ya kanisa
Dance ya kanisa, Dance ya kanisa
Dance ya kanisa, Dance ya kanisa
Aah, hii ni dance ya kanisa
Dance ya Kanisa – Moji Shortbabaa – Verse Three
Mi ndo najua
Place nimetoka ni mbali for sure
So kila siku niko chini ya jua
Ntadance for my Jesus mi nitachafua
Ameondoa Sogo, sogo
Maisha tamu ka muhogo, muhogo
Nitashukuru si kidogo, kidogo
Dance ya Kanisa mdogo, mdogo
Haiya basi tuende tuendete
Dance ya Kanisa ieleweke
Mapenzi ya baba itendeke
Kama mtu hajashika usimcheke
Chezea bwana chezea
Dance ya Kanisa
Chezea bwana chezea
Dance ya kanisa
ALSO, SING TO Kuroria Lyrics – KrgTheDon and Rico Gang
Ayayaaa,, hii ni dance ya kanisa
Oyoyoo, hii ni dance ya kanisa
Dance ya kanisa, Dance ya kanisa
Dance ya kanisa, Dance ya kanisa
Dance ya kanisa, Dance ya kanisa
Aah, hii ni dance ya kanisa
Dance ya kanisa, Dance ya kanisa
Dance ya kanisa, Dance ya kanisa
Dance ya kanisa, Dance ya kanisa
Aah, hii ni dance ya kanisa
CREDIT: Moji Shortbabaa