Home NEWS Daktari Lyrics – Ethic Entertainment – New Song 2020

Daktari Lyrics – Ethic Entertainment – New Song 2020

0
Daktari Lyrics

Daktari Lyrics – Ethic Entertainment – Download Mp3 Audio

Intro

Motif Di Don

Bazu
Bigman bazu
Bazu
Bigman bazu
Bazu
Bigman bazu
Big bang bang bang bamboo

Bazu
Bigman bazu
Bazu
Bigman bazu
Bazu
Bigman bazu
Big bang bang bang bamboo

Nimekucheki toka zamani
Ju unataka nadhani
Mi ndio hudunga kama daktari
Eeeh inabaki ndani kwa ndani

Eeeh ati kwa ndani
Nabaki ndani kwa ndani
Eeeh ati kwa ndani
Inabaki ndani kwa ndani

Verse One

Eeh tunastep na tei inakam
Tunaleft na Fei anakam
Ngonga sana tea itakam
Na ata akikuja booster kisub

Gonga gonga, gonga tukigonga
Nyonyi pongi nyonyi ukiigonga
Gonga gonga msupa haujanipea ndom
Utaambia afande mbele tukisonga

Chorus

Nimekucheki toka zamani
Ju unataka nadhani
Mi ndio hudunga kama daktari
Eeeh inabaki ndani kwa ndani

Eeeh ati kwa ndani
Nabaki ndani kwa ndani
Eeeh ati kwa ndani
Inabaki ndani kwa ndani

Verse Two

Naeza isha kwa hivyo itisha
Tukiwashe kikichachisha
Kuuguza hatuwezi ivisha
Mbeibisha unanimaliza

Washa rungu leo unichizishe
Napenda mbu nitakufurisha
Miezi tisa enda upimishe
Kushibishwa kumbe uliingizwa

Chorus

Nimekucheki toka zamani
Ju unataka nadhani
Mi ndio hudunga kama daktari
Eeeh inabaki ndani kwa ndani

Eeeh ati kwa ndani
Nabaki ndani kwa ndani
Eeeh ati kwa ndani
Inabaki ndani kwa ndani

Bazu
Bigman bazu
Bazu
Bigman bazu
Bazu
Bigman bazu
Big bang bang bang bamboo

Bazu
Bigman bazu
Bazu
Bigman bazu
Bazu
Bigman bazu
Big bang bang bang bamboo

Verse Three

Inajitoa choche
Inashuka inajipata kunyi
Zubaa tu ikaukie kwa fudhi
Imejaa shimo unaeza ekwa ngumi

Kujitepa hadi akili situmii
Ninambao na mi humbao saa kumi
Mtaa huwa kuburn maudi
Kujitepa hadi akili situmii

Chorus

Nimekucheki toka zamani
Ju unataka nadhani
Mi ndio hudunga kama daktari
Eeeh inabaki ndani kwa ndani

Eeeh ati kwa ndani
Nabaki ndani kwa ndani
Eeeh ati kwa ndani
Inabaki ndani kwa ndani

Bazu
Bigman bazu
Bazu
Bigman bazu
Bazu
Bigman bazu
Big bang bang bang bamboo

Bazu
Bigman bazu
Bazu
Bigman bazu
Bazu
Bigman bazu
Big bang bang bang bamboo

Daktari Lyrics Credit – Ethic Entertainment

ALSO, SING TO – Njuguna Parody Lyrics – Dogo Charlie – New Parody 2020