Home NEWS D-Day Lyrics – Femi One – New Song 2019

D-Day Lyrics – Femi One – New Song 2019

0
D-Day Lyrics

D-Day LyricsFemi One

Kuna fom basi si tufike
Tusifike mapema
Ndio tusipike
Sidhani ka nitalala
Si kesho ni D-Day
Ju nikipitwa na fom
Hakunanga replay

Mimi na masela tunacelebrate
Sape kwa kibeti nikama ni benki
Olunga kuball si vako ni messi
Na sitaki fom ka shangwe haileti
Oyah, waiter cheza ka wewe
Si uitishe upewe itisha mzinga
Si uimimine ulewe
Na kama huna ndai oya ita cab bana

Dont drink and drive usikam sana
Leo ni parte after parte
Akitaka mate apakatwe
Marinet after mpata kwake
Na kama ye ni daste
Mi ni Jipate

Kuna fom basi si tufike
Tusifike mapema
Ndio tusipike
Sidhani ka nitalala
Si kesho ni D-Day
Ju nikipitwa na fom
Hakunanga replay

Kuna fom basi si tufike
Tusifike mapema
Ndio tusipike
Sidhani ka nitalala
Si kesho ni D-Day
Ju nikipitwa na fom
Hakunanga replay

 

Boasty, sema Kidosi
Kama ni ganji na maji we hunikosi
Si tuko huku na huku kama majonzi
Kama we ni hater apana leta mikosi
Sitaki mchele wapi pekelee
Rende yangu ngori kanaweza nuka

Pimisha kilo tatu na uwekelee
Halafu kachumbari na usipime unga
DJ si uspin ka kwa bakery mmh ka kwa bakery
Na mawanabee wana mmh kama fakery
Mmh Wana fakery mmh kama feathery
DJ si uspin kama  vile pale bakery

Kuna fom basi si tufike
Tusifike mapema
Ndio tusipike
Sidhani ka nitalala
Si kesho ni D-Day
Ju nikipitwa na fom
Hakunanga replay

Kuna fom basi si tufike
Tusifike mapema
Ndio tusipike
Sidhani ka nitalala
Si kesho ni D-Day
Ju nikipitwa na fom
Hakunanga replay

Boasty, sema Kidosi
Kama ni ganji na maji we hunikosi
Si tuko huku na huku kama majonzi
Kama we ni hater
Apana leta mikosi

Kuna fom basi si tufike
Tusifike mapema
Ndio tusipike
Sidhani ka nitalala
Si kesho ni D-Day
Ju nikipitwa na fom
Hakunanga replay

ALSO, SING TO Nauelewa Lyrics – Otile Brown – New Song 2019

Previous articleKCSE: How to check results via SMS
Next articleFemi One Utawezana Biography and Background Information