Home NEWS Chukua Lyrics – The Mafik Ft Natacha – New Song 2020

Chukua Lyrics – The Mafik Ft Natacha – New Song 2020

0
Chukua Lyrics

Chukua Lyrics – The Mafik Ft Natacha – Download Mp3 Audio

Kwa bedi we kata
The fake money matter ta
They want kick so faster
Baby zima leo data, sheketua

Minyama wanipatia, aha
Katikati achia
Iweke iweke na vile unanisusia
Napenda yako tabia, seke seke

Yote, yote yako chukua baba
Yote, yote yako chukua baba
Hadi unakera, nyuma santela
Show ni Coachella

Chukua baba, nipe kisela
Tukisetela, tela tela
Chukua baba,
Yoote, yote yako
Chukua baba,
Yoote, yote yako
Chukua baba

Baby weka, baby weka
Naiweka weka
Baby weka, baby weka
Naiweka weka

Kalivyoweza
Ta dogodogo walahi simwachi
Akitabasamu
Naridhika mwingine sitaki

Vile ulivyo mcute mcute
Nami nasema walahi sikwachi
Mtamu, ooh mwingine sitaki
Baby nipe dambua

Napenda ukinisumbua sumbua
Uno ndogo za kiyapua
Kama Whozu nadokoa dokoa

Yoote, yote yako
Chukua baba
Yoote, yote yako
Chukua baba

Baby weka, baby weka
Naiweka weka
Baby weka, baby weka
Naiweka weka

Naiweka, naiweka
Weka
Naiweka, naiweka weka

Chukua Lyrics Credit – The Mafik and Natacha

ALSO, SING TO – Uko Salama Lyrics – Barnaba – New Song 2020