Chotana Lyrics Suzanna Parody – Padi Wubonn – Download Mp3 Audio
Verse One
Ushaichotana, ukahope utampenda
Kakitu sexy when you are drunk
Kumbe bouncer
Ukachotana
Kufika home ni bogi benda
Manzi umechange skin colour
Manze tei hudanganyana
Na hakukuwa hata na mandevu
Hapo kando ya Adams apple
Ukichota unajiamini yeyyeyeye
Unaanza kuanticipate
And I see you in kitanda
Si ni kwangu utapanda
Shenzi type umeshalewa
Hujui ni wewe umetekwa
Chorus
Utapiga 99, stenje
Hallo, hallo, hallo
Ama uite madhako
Somebody is robbing you
Utapiga 99, stenje
Hallo, hallo, hallo
Ama uite madhako
Somebody is robbing you
Verse Two
Jana alikunywa beer
Saa hii amejitapikia
Hizo makeup zote bandia
Huwezi ata kuangalia
Alafu mimi na wazimu
Nishatafuna mkhombero
Nitahepa kidesigner
On your marks kwenda
Aki bana mwanaume uteseka
Na mioto za kupandiana
Aki bane usichote ukapata
Ni wewe ulishapangiwa
Chorus
Stenje
Hallo, hallo, hallo
Ama uite madhako
Somebody is robbing you
Stenje
Hallo, hallo, hallo
Ama uite madhako
Somebody is robbing you
Stenje
Hallo, hallo, hallo
Ama uite madhako
Somebody is robbing you
Chotana Lyrics Suzanna Parody Credit – Padi Wubonn
ALSO, SING TO – Chain Chain Lyrics – Chris Kaiga – New Song 2020