Chain Chain Lyrics – Chris Kaiga – Download Mp3 Audio
Ka imeweza imeweza
Na Kakienda basi enda na
Ka imeweza imeweza na
Ukibebwa basi bebwa nayo
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Verse One
Wamlambez ka ulimi
Nishakuwa champez na imewacha kuwa siri
Ndio maana navaa machain na machingri
Na siku hizi hata ukikam na sanse sishikiki
Na daily niko biz na mabigfish wa jiji
Macheck kusign iwa hadi kalamu haziandiki
Maweng kibao kuzibeba ni tizi
Nakaa kanisa empty hakuna kasisi
Baadae niko rieng ya madrinks na mayeng
But 9 niko tings naona nikibleki ten
Sai siko right so itabidi nimeleft
Ju pori venye ziko brathe ni ka zimeweza
Chorus
Ka imeweza imeweza
Na Kakienda basi enda na
Ka imeweza imeweza na
Ukibebwa basi bebwa nayo
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Verse Two
Mi na machampez tunapop machampagne
Na hadi mama ploti anacall masanse
Akidhani ni magunshot za mabunde
Nani sikuhizi tumekafunga tukatupa key
Ndio maana mi hudunga ka msumari
Na kitu imebaki ni kumea tu kitambi
Juu ndani ya walenje nina kambi ya ganji
Na siku hizi sina rende nina gang ya wafuasi
Chorus
Ka imeweza imeweza
Na Kakienda basi enda na
Ka imeweza imeweza na
Ukibebwa basi bebwa nayo
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Verse Three
Mimi ni kama dredy after nywele shaggy beiby
Better in improvements making power moves daily
Siku hizi siwezi loose chance niko rada deadly
Na kama movie ya romance siwezi kosa pengting
Nipe rieng gathee nicheze ka mi
Nakam na sssh mayengs na madrinks
Acha bash ibeng ka speaker ya ma3
Wakiteta ki Akothee waambie col polis Call them
Chorus
Ka imeweza imeweza
Na Kakienda basi enda na
Ka imeweza imeweza na
Ukibebwa basi bebwa nayo
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Kitu safi iende chain chain
Mali safi iende chain chain
Chain Chain Lyrics Credit – Chris Kaiga
ALSO, SING TO – Yoyo Lyrics – Magix Enga – New Song 2020