Home NEWS Catalogue Lyrics – Rekles

Catalogue Lyrics – Rekles

0
Catalogue Lyrics

Catalogue Lyrics by Rekles

Intro Chorus

Wakicheki catalogue na hauna form, hauna doh
Hauna goals, hauna balls kula block
Si ati jo personal ni, hauna form, hauna doh
Hauna goals, hauna balls, kula block

Wakicheki catalogue na hauna form, hauna doh
Hauna goals, hauna balls kula block
Si ati jo personal ni, hauna form, hauna doh
Hauna goals, hauna balls, kula block

Verse One

Cheki nani sina hata beef bana
Ata niki kudiss sana
Bana hizi pressure
Ziufanya nadai kuretire

Ju ati ni diva anaringa, figa jo ni equal to mimba
Mi staki jua jo nadai kujua tu venye nta piga
Ulimpata wapi jo, Tinder, unadhani jo atajipa
Unadhani jo ataingia kwa keja dinner huwezi lipa

We ufanya kazi, una tafta kazi ama manzi
Ju ka ni zawadi ni ka kupea Zari mandazi
Ngoja ngoja buda hujuangi venye mi nina lugha
Na pia mi hupiga wera mbaya unaeza niita punda
Na mtaani buda kuma mi upiga jo ni za machura
So ni noma nadai mali jo safi mi nkikafunga

Naeza kafunge kesho mmh ama kesho kutwa
Alafu nitoke rentals mmmh ninunue nyumba
Nimechoka kusugua kiboko na mafuta
Na ka jo unanitafuta niko kwa bukla sai nakunywa

Chorus

Wakicheki catalogue na hauna form, hauna doh
Hauna goals, hauna balls kula block
Si ati jo personal ni, hauna form, hauna doh
Hauna goals, hauna balls, kula block

Wakicheki catalogue na hauna form, hauna doh
Hauna goals, hauna balls kula block
Si ati jo personal ni, hauna form, hauna doh
Hauna goals, hauna balls, kula block

DOWNLOAD AUDIO REKLES CATALOGUE

Verse Two

Ni fiti nimekuskiza bado bana uko kwa giza
Hauna maziwa lakini bado unatafta diva
Instagram jo izo picha, broman hio bei utafika
Cheki ile loan ya Tala bana ulishindwa kuliapa

Skiza skiza jo mi ntafuata na ntapata bana bro
Mi nko rada, mi ni mjanja, mi sijai ata kosa form
Ata kama atasema No unajua sijuangi kuloose hope
Mi ntapiga tu mandom alafu jo fuaka na ki choke

Ati jo fuaka na ki choke? We umepagawa we uko jaba
Atakupiga na ki ‘No’
Ona una staga io ni chang’aa pia umechanganya na Chrome
Hauna chaser nunua Coke, hauna pesa hauna doh?
Acha sponyo akuonyeshe form

Mi stambui sponyo ntampea vako za pono
Ni tu labda hunijui mi upiganiwa hadi na mapoko
Ka ulize mama Boi ye hushindaga kwa ile local
Mi ni German Shepherd bana mi si umbwa koko

Chorus

Wakicheki catalogue na hauna form, hauna doh
Hauna goals, hauna balls kula block
Si ati jo personal ni, hauna form, hauna doh
Hauna goals, hauna balls, kula block

Wakicheki catalogue na hauna form, hauna doh
Hauna goals, hauna balls kula block
Si ati jo personal ni, hauna form, hauna doh
Hauna goals, hauna balls, kula block

Catalogue Lyrics by Rekles

ALSO, SING TO – Juice Lyrics – Otile Brown – New Song 2020

Previous articleTop Education Sponsors in Kenya
Next articlePepea Lyrics – Hamadai