Home NEWS Bomb ya Saddam Lyrics – Kilundeezy

Bomb ya Saddam Lyrics – Kilundeezy

0
Bomb ya Saddam Lyrics

Bomb ya Saddam Lyrics – Kilundeezy

Kilundeezy tena
Dj Gylo Production

Hii si poko haramu
Hii bi bomb ya Saddam
Ishapigwa kalamu
Itachezwa hadi kwa karamu

Kwanza cheki madem vile wanakatika
Hii ni bomb ya saddam ishalipuka
Imebaki me na ngeus ni kushikisha
Mroro ako poa kama Vera sidika

Kanapenda hiyo mboko nikiidhika
Unawasha nare hadi kana chizika
Unapiga hiyo wera bila fitina
Kanabaki kakidai hiyo ni dhitima

Kadem kanadai kupigwa rada
Na vile kamejibeba manze kameweza
Mabeshte wanadai kanatesa
Kanasakwa kama dhahabu na fedha

Kanapenda nikichafua hiyo meza
Heri nichome fare nitembee ka less
Nikahot girl vile kanang’ara
Kanafanyanga ning’are kama papa wemba

Kwanza cheki vile kanatisha
Zake ni mbao ka Olunga
Kama ni mboko nakapiga
Ndio maana me ndo ex wa Lupita

Bomb ya Saddam Lyrics – Kilundeezy

Kwanza cheki madem vile wanakatika
Hii ni bomb ya saddam ishalipuka
Imebaki me na ngeus ni kushikisha
Mroro ako poa kama Vera sidika

Kanapenda hiyo mboko nikiidhika
Unawasha nare hadi kana chizika
Unapiga hiyo wera bila fitina
Kanabaki kakidai hiyo ni dhitima

Ngoma Kutamba ngoma kuroria
Leo Kumewaka ni madem kurombosa
Sema tu kumbonya ni ule mkamba
Si kukata wire ni kutingiza nanga

Shikika shikika shika hizo madiaba
Tingiza tingiza pin dem kwa ukuta
Ikizidi sana kadishi kama buta
Digida digida hii ni ngoma sio dumba

Pakisha fuliza koro kwenye hiyo dunda
Socks kama kawa kadem kameng’ura
Umechapwa nundu umebaki tu kufura
Part yenyewe utadhani uko area za karura

Nikijam nageuzia rangi kama tu kinyonga
Chapa ngoma bila fullstop ama comma
Ngoma zangu ni nare kuliko ule drogba
Nachain na madem wanapenda kucheza poka

Ngoma zangu zinashika kuliko ata goala
Mtaani nawachanga utadhani me ni soccer
Ngoma sitasare hadi siku nitaomoka
Club na mamorio mangoko ni kuchota

Bomb ya Saddam Lyrics – Kilundeezy

Kwanza cheki madem vile wanakatika
Hii ni bomb ya saddam ishalipuka
Imebaki me na ngeus ni kushikisha
Mroro ako poa kama Vera sidika

Kanapenda hiyo mboko nikiidhika
Unawasha nare hadi kana chizika
Unapiga hiyo wera bila fitina
Kanabaki kakidai hiyo ni dhitima

Tenje imejaa pigia mamorio twende bash
Mamorio wangu wote hupenda kudance dash
Na pia wamejaa utadhani Mabro wa ngwaash
Kila weekendi si hupenda kuwasha kishash

Kwanza kikuwe kikuru kipuff puff kipass
Dem amechapa siwes match mimi ninapass
Lakini akuwe brown skin lazima nitamgasp
Yangu na madem ni kaa tu nicurse

Party yangu si ya mababi ni ya wale tu warass
Game yangu sio soft ni ya wale tu watough
Mimi si Abbas na bado me ni kumbafu
Zimenishika manze leo ni kama zimenyaru

Kama King Kaka leo nakula na adabu
Napenda dem amejibeba ka Kamene Ngoro
Anapenda mboko ju me hukam na muhogo
Si high class anapiga look tu kimangoto
Sisi hukam tamasha kuchoma tu photo

Bomb ya Saddam Lyrics – Kilundeezy

Kwanza cheki madem vile wanakatika
Hii ni bomb ya saddam ishalipuka
Imebaki me na ngeus ni kushikisha
Mroro ako poa kama Vera sidika

Kanapenda hiyo mboko nikiidhika
Unawasha nare hadi kana chizika
Unapiga hiyo wera bila fitina
Kanabaki kakidai hiyo ni dhitima

Kuna kadem kananidhogodha tombo
Na kuna vile kanadai hiyo mboko
Ka ugali hizo ni chote za mbono
Nikaside kanadai tu mboto

Kanapendaga tukivuruga kitembo
Kisha nikachome design ya zero
Kamejibeba nakata bila kunego
Kanapendaga nikiwasha hiyo koro

ALSO, SING TO Sulwe’s Song Lyrics – Lupita Nyong’o

Credit: Kilundeezy

Previous articleSulwe’s Song Lyrics – Lupita Nyong’o
Next articleJeff Koinange Biography, Age, Wife, Career, Son, Salary