Bloody War Lyrics By Mbogi Genje Ft Seska, Dullah – Download Mp3 Audio
Bloody scene ma reporter wahepe
Ka ni scene ma revolver ma AK
Ibaki scene kawe gwangi ya ma Senke
Hapa gwangi atabakisha ma Senke
Ama gwangi atabakishwa na Senke
Hapa gwangi atabakisha ma Senke
Ama gwangi atabakishwa na Senke
Hapa gwangi atabakisha ma Senke
Verse One Bloody War Lyrics
Mauru ni mauru ye atabaki kuwa mauru
Na wa huku hutumia dumba na madawa
Kama dudu ka ni vita utabaki bila ukapi
Na marungu hapa issues sitaki
Unaweza vunjwa bloody nugu
Pia ma misuse sitaki juwa excell tuko huku
Bila morio bila ndugu utaweza utafaulu
Kila mtu ana virusi hadi ma pastor wanajishuku
Hapa hakunanga mapenzi jo mapenzi haiwezi dumu
Na nakunao nakudigi gotea morio chanji zigi
Ye huzi roll bila ziggy buda riang’ kama Timmy
Kunywa dhiang’ kama mbili buda riang’ huna akili
Huwezi burn ka nare huwezi run ka mkale
Kisu, kisu haichagui koma
Koma koke haichagui kisu
Kisu, kisu haichagui koma
Koma koke haichagui kisu
Kisu, kisu haichagui koma
Koma koke haichagui kisu
Una mbao na unadai Kibao nusu
Chorus
Bloody scene ma reporter wahepe
Ka ni scene ma revolver ma AK
Ibaki scene kawe gwangi ya ma Senke
Hapa gwangi atabakisha ma Senke
Ama gwangi atabakishwa na Senke
Hapa gwangi atabakisha ma Senke
Ama gwangi atabakishwa na Senke
Hapa gwangi atabakisha ma Senke
Verse Two Bloody War Lyrics
Zama choche ya machingri na makidri
Hao marezzy wanabanja ni wanigri
Na fufue ile ilengi wanazibri
Rengwa wako Chiromo kwa njifri
Mi hupenda kuzi cock kama coke
Kama mbaya basi tunabaki mbogi
Uko dufla umebuguda kwa roadi
Na madibla zimetapakaa kwa roadi
Morio ng’ore anasimamia njiste
Ka ni ngeuso mi huzungushia na difre
Ka ni asset kuzipeleka muriste
Ka ni bale mi hubwekishanga ticre
Uko front end jitu umejibeba
Uko stroko kila jeez kuzibeba
Ka ni shake si hulima hizi ndeba
Hizi shang’ ndio husababisha rieba
Niko ndoso nawazama tu mambosho
Ni kunare walidhani ni kunyonso
Zimeshika ka simiti na kokoto
Kuwadenki kwa warosho kimangoto
Chorus
Bloody scene ma reporter wahepe
Ka ni scene ma revolver ma AK
Ibaki scene kawe gwangi ya ma Senke
Hapa gwangi atabakisha ma Senke
Ama gwangi atabakishwa na Senke
Hapa gwangi atabakisha ma Senke
Ama gwangi atabakishwa na Senke
Hapa gwangi atabakisha ma Senke
Verse Three Bloody War Lyrics
Kifo haichagui kama umeokoka haichagui kabilaa
Haichagui ka umemoka ka wewe uko bila
We ni simba blunder umeekea mse scene imetoka na bilaa
Achanga ufike Shang’ alafu upate mi ndio gandilaa
Achanga ukabilaa
Si ni watumwa tuliacha mila
Medi wa miraa
Huwezi nipata mi bila silaha
Bangi na miraa
Bangi na Bangi na Miraa
Bangi na silaha
Kuna vitu siezi kaa bilaa
Chorus
Bloody scene ma reporter wahepe
Ka ni scene ma revolver ma AK
Ibaki scene kawe gwangi ya ma Senke
Hapa gwangi atabakisha ma Senke
SING TO: One Night Stand Cover Lyrics By Dogo Charlie
Bloody War Lyrics By Mbogi Genje Ft Seska, Dullah