Biringisha Lyrics – WAKALI WAO
Mi nataka tu nilewe nibebwe juu juu
Na kadem tukatike kakishika miguu
Mawezere amezibeba hivi ka omundu
Na usiku ni nderere kukapiga dudu
Cheki simama tingisha sugua Ah ah
Inama zungusha inua Ah ah
Biringisha tingisha pendua
Chini juu chini tamu tamu ka halua
Cheki simama tingisha sugua Ah ah
Inama zungusha inua Ah ah
Biringisha tingisha pendua
Chini juu chini tamu tamu ka halua
Biringisha Lyrics – Verse One
Tamu tamu ka halua design nina inua
Kwanza ukikamua zinaruka kwa kifua
Ninapenda hiyo style unainama tu kufua
Cheki ni kadogi kamechafua manguo
Gushodo ameivisha sura si ong’ong’o
Kanono kamomo kamejibeba manyonyo
Toto lakini haga kulia kushoto
Na ka ye funga duka nina chuma piga koto
Ukizungusha mimi napenda
Ukizirusha mimi nakemba
Kam kipusa kuna vile umeweza
Mayut mtaani kuna vile unawatesa
Chorus
Simama tingisha sugua Ah ah
Inama zungusha inua Ah ah
Biringisha tingisha pendua
Chini juu chini tamu tamu ka halua
Cheki simama tingisha sugua Ah ah
Inama zungusha inua Ah ah
Biringisha tingisha pendua
Chini juu chini tamu tamu ka halua
Biringisha Lyrics Verse Two
Malooku napiga ndege khaki na matimba
Manduku nachoma nyongi hadi kinazima
Kurutu kwa kutu mangoko nawachinja
Simama inama ukishika miguu
Ati inua sugua ukizirusha juu
Unafanya dudu yangu inarauka juu chini
Juu chini juu kalia dudu
Juu chini juu wacha utundu
Rungu imekunywa mathufu imetepwa mathudu
Mokombero na njugu nina nguvu omundu
Kinugu shortwire speed yake haina breki aah
Chorus
Simama tingisha sugua Ah ah
Inama zungusha inua Ah ah
Biringisha tingisha pendua
Chini juu chini tamu tamu ka halua
Cheki simama tingisha sugua Ah ah
Inama zungusha inua Ah ah
Biringisha tingisha pendua
Chini juu chini tamu tamu ka halua
Biringisha Lyrics Verse Three
Niite masai ju enyewe nimejipin kirungu
Napiga manyonyo wamejibeba tundu
Na wengi ni masmarta wanabonga kizungu
Wanajifanya vixen wajione kwa mbulu
Chekesha wangu teka wako kimahuru
Nakukuna kamukia katululu
Nampeleka makejani ni manduru
Kakiwika acha tu kuzama ni macho ngumu
Chorus
Simama tingisha sugua Ah ah
Inama zungusha inua Ah ah
Biringisha tingisha pendua
Chini juu chini tamu tamu ka halua
Cheki simama tingisha sugua Ah ah
Inama zungusha inua Ah ah
Biringisha tingisha pendua
Chini juu chini tamu tamu ka halua
Aah-aaah
Aah-aaah
Chini juu chini tamu tamu ka halua ah
Aah-aaah
Aah-aaah
Chini juu chini tamu tamu ka halua ah
ALSO, SING TO Vuvuzela Lyrics – Boondocks Gang ft Joefes, Iphoolish
Credit