Home GENERAL Bembeleza Lyrics – Quick Rocka Ft Joh Makini – New Song 2020

Bembeleza Lyrics – Quick Rocka Ft Joh Makini – New Song 2020

0
Bembeleza Lyrics

Bembeleza Lyrics – Quick Rocka Ft Joh Makini – Download Mp3 Audio

Verse One

Eeh, beibe beibe, beibe

Eeh, you care for me too much me I feel good
Nishaweka business man I stay true
Bingu ya saba ndio mahali umeniweka boo juu
Juu ya jiwa juu ya mwezi juu ya Nyota

Umenifanya general umenipa manyota
Wanifanya nahisi kama mi naota
Yaani murder ndio kesi ukija niponyoka
High grade penzi lako mama mi namoka

My love for you is faithful my love for you is special my love for you is pure
Nitakupenda leo kesho mpaka pumzi ya mwisho maybe even more
My love for you is faithful my love for you is special my love for you is pure
Nitakupenda leo kesho mpaka pumzi ya mwisho maybe even more

Nikiwa nawe i feel so peaceful
My lady wash away the pain
Uwepo wako kwangu simple
Ni kama blow inside my face

Chorus

Ooh oh
Nasikia Raha nikiwa nawe
Ooh oh
Nasikia Raha nikiwa nawe
Ooh oh
Nasikia Raha nikiwa nawe
Ooh oh
Nasikia Raha nikiwa nawe

Pale unanibembeleza, bembeleza bembe
Asa unanibembeleza, bembeleza bembe
Pale unanibembeleza, bembeleza bembe
Asa unanibembeleza, bembeleza bembe

Verse Two

Sichoki hata kukutazama kisura
Sitaki ata kukukoseshaga furaha
Wewe ndiwe umefanya nimejuwa
Kupenda unapopendwa raha ona tunavyopendana

My love for you is faithful my love for you is special my love for you is pure
Nitakupenda leo kesho mpaka pumzi ya mwisho maybe even more
My love for you is faithful my love for you is special my love for you is pure
Nitakupenda leo kesho mpaka pumzi ya mwisho maybe even more

Nikiwa nawe i feel so peaceful
My lady wash away the pain
Uwepo wako kwangu simple
Ni kama blow inside my face

Chorus

Ooh oh
Nasikia Raha nikiwa nawe
Ooh oh
Nasikia Raha nikiwa nawe
Ooh oh
Nasikia Raha nikiwa nawe
Ooh oh
Nasikia Raha nikiwa nawe

Pale unanibembeleza, bembeleza bembe
Asa unanibembeleza, bembeleza bembe
Pale unanibembeleza, bembeleza bembe
Asa unanibembeleza, bembeleza bembe

Bembeleza Lyrics Credit – Quick Rocka and Joh Makini

ALSO, SING TO – I am Sorry Lyrics – One Six Ft Stamina – New Song 2020

Previous articleI am Sorry Lyrics – One Six Ft Stamina – New Song 2020
Next articleNyamaza Lyrics – Fenny Kerubo Ft Rose Muhando – 2020