Basi Lyrics – BONGA – Download Mp3 Audio
Moyo umevuja damu
Maumivu naugulia mwenyewe
Hivi hufahamu kuna safari
Tuliyopanga na wewe
Ah ah sikulaumu mama
Huenda ngoja ngoja zilikuzingua
Zile ahadi nitakununulia hama
Hapo kesho nikitusuwa
Eeh Shida imekuwa gumzo
Nilijitahidi uridhike
Wenye kuridhia matuzo
Umeniacha niaibike
Ee eh ooh ooh
Ooh shida
Ah ndo zilifanya ukaondoka
Ooh shida
Ah au ndo penzi langu umechoka
Ooh shida
Mi wa zamani goroka
Ooh shida ooh shida
Ooh shida
Basi Basi, Basi Basi Basi
Basi Basi
Kama langu la kukosa sawa
Basi Basi
Eti leo nakuganda chawa
Basi Basi
Japo kuwa kishingo upande
Nimeanza kuzoea machozi maana
Imekuwa moja ya furaha yangu
Kutendwa kama dozi
Kila siku zamu yangu
Au ndio siyawezi waniona maana
Umechoshwa na shida zangu huu
Bora ungenichuna ngozi
Nipate furaha yangu
Kinachoniuma umeacha doti ya kanga
Kila nikiona ndio kinaamka kizanga
Ooh yo yo yo
Ooh shida
Ah ndo zilifanya ukaondoka
Ooh shida
Ah au ndo penzi langu umechoka
Ooh shida
Mi wa zamani goroka
Ooh shida ooh shida
Ooh shida
Basi Basi, Basi Basi Basi
Basi Basi
Kama langu la kukosa sawa
Basi Basi
Eti leo nakuganda chawa
Basi Basi
Japo kuwa kishingo upande
Basi Basi, Basi Basi Basi
Basi Lyrics Credit – BONGA
ALSO, SING TO – Mama Lyrics Precious Ernest – New Song 2020