Home NEWS Bamba Lyrics – TID Ft Lulu Diva

Bamba Lyrics – TID Ft Lulu Diva

0
Bamba Lyrics

Bamba Lyrics by TID and Lulu Diva

Sakata Bamba
Sakata Bamba leo
Ucheze dancehall
Kama kwenye Video

Sakata Bamba
Sakata Bamba leo
Ucheze dancehall
Kama kwenye Video

Ngoma imenoga hiyo
Ngoma inogire hiyo
Funga kibwebwe
Ingia Kati

Ngoma imenoga hiyo
Ngoma inogire hiyo
Funga kibwebwe
Ingia Kati

Don’t you do me like that
Unataka money
Nikupe wine
Twende chumbani

Don’t you do me like that
Unataka money
Nikupe wine
Twende chumbani

Sakata Bamba
Sakata Bamba leo
Ucheze dancehall
Kama kwenye Video

Don’t you do me like that

Sakata Bamba
Sakata Bamba leo
Ucheze dancehall
Kama kwenye Video

Don’t do me like that

Sweet sweet ooh baby
Give me some more
Sweet sweet moyo wangu

Wanikomesha kinoma noma
Unanipa homa ooh
Vitu zote zimezima zima
Unanicontrol

Don’t you do me like that
Unataka money
Nikupe wine
Twende chumbani

Don’t do me like that
Nataka money
Si unipe wine
Twende chumbani

Sakata Bamba
Sakata Bamba leo
Baby do me like that
Ucheze dancehall
Kama kwenye Video

Sakata Bamba
Sakata Bamba leo
Ucheze dancehall
Kama kwenye Video

Baby do me like that

Ngoma imenoga hiyo
Ngoma inogire hiyo
Funga kibwebwe
Ingia Kati

Bamba Lyrics by TID – Download Mp3 Audio

ALSO, SING TO – Wala Lyrics – B2K Mnyama