Angalau Lyrics by Kusah – Download Mp3 Audio
Verse One
Uyee, uyee, uyee
Mmmhh
Ah Kuna muda wanakupa faraja
Unadhani unalivuka daraja
Wapewa sifa unanyimwa na haja ja
Ah Na kuna muda unapitia darasa
Unasoma humalizi kurasa
Hufiki mbali wanakupa mikasa baba
Kama kuimba mi naimba sana
Na wananisifia
Na sasa mbona sitoki mmmh
Kama kuandika naandika sana
Nyimbo zao nazijua
Sasa mbona sitoki
Labda muda bado haujafika
Acha apewe Mondi nami atanipa
Labda mimi bado mmmh
Ninachofanya mimi nakasirika
Anapendwa Amber mimi naadhirika
Yaani bado
Au niroge,
Nichukue na maji nioge
Ndo nyota ing’ae ng’a mmmh
Kwa Wema ni ombe, nipite kwa Jacky nimgonge
Niende kwa Zari anihonge
Ndo watu wanitambue
Chorus
Na bado bado bado,
Iyee iyee iyee
Oooh Lord
Iyee iyee iyee
Naomba hii ihit
Iyee iyee iyee
Angalau nyimbo moja tu
Iyee iyee iyee
Iyee iyee iyee Iyee iyee iyee
Nipe
Iyee iyee iyee
Angalau nyimbo moja tu
Iyee iyee iyee
Na mimi wanitambue
Mmmh ulalalala
Verse Two
Mwanzo nilidhani gundu
Au nyota labda inafifia
Nikajipa moyo nikiwa na yule
Labda atanyenyua
Kumbe ni kibudu
Mbuzi kafa alafu namnyanyua
Nikajipa moyo
Ati kwenye giza nilikonijua
Ila kwanini bado
Wanapendwa wao mi sionwi
Ila kwanini bado
Wanapendwa wao mi sionwi
Waliokuwa dogo zangu wanahit
Au labda nilifungura ridhiki
Au labda kwenyu mimi kwenyu sihijajiki
Amber Rutty na video ana kiki
Yule naye kaimba buku ana hit
Au labda mimi kwenyu sikikiki yooo
Tatizo lenyu nyi vya maana hamvipendi
Ujinga jinga na ushenzi ndo vinatrend
Ukikosea hata kidogo hakupendi yoo
Au niroge, nichukue na maji nioge
Ndo nyota ing’ae ng’a mmmh
Kwa Wema ni ombe, nipite kwa Jacky nimgonge
Niende kwa Zari anihonge
Ndo watu wanitambue
Chorus
Maana bado bado bado,
Iyee iyee iyee
Naomba nihit
Iyee iyee iyee
Naomba unione
Iyee iyee iyee
Iyee iyee iyee
Mi nishachoka mie
Iyee iyee iyee
Na mimi wanitambue
Iyee iyee iyee
Iyee iyee iyee
Oooh lalalala
Iyee iyee iyee
Angalau Lyrics by Kusah
ALSO, SING TO – Bamba Lyrics – TID Ft Lulu Diva