Anajishaua Lyrics – DanZak
Anajishaua Lyrics Verse One
Hivi we kabila gani?
Asilia ulipotoka hunny
Umbile lako basi
Nichombeze nichombeze
Mahaba
Unikoleze unikoleze
Eeeh nitulize nitulize
Kwako nijimalize malize
Ananipa joto
Anazipiga deki nasafisha uwanja
Wema Sepetu
Mtoto sauti chiriku akicheka ana mwanya
Baby please ma
Tugandane pizza na cheese ma
Kama maji kwenye kisima
Jitenge nikuchote, nikuvute ning’ang’anie
Chorus
Anajishi anajishaua
Anajishishi anajishaua
Eeeh shishi anajishaua
Anajishi shi anajishaua
Na mapozi ya camera, jishaua
Kanga akivaa na dera, jishaua
Tamu yako kuku sekela, jishaua
Ana upole cinderela, jishaua
Na mapozi ya camera, jishaua
Kanga akivaa na dera, jishaua
Tamu yako kuku sekela, jishaua
Ana upole cinderela, jishaua
Anajishaua Lyrics Verse Two
Hey darling
Ana kachiri
Sifa zake waweza tumia mashahiri
Kama kazaliwa jana siri
Sifanyi tena sana namuweka dhahiri
Tupatwe na baraka za mama
Anajua kujipamba ana, jishaua
Ni mjuzi wa kadanda ana, jishaua
Tena akicheza vanga charanga
Ngoma korola Tanga, anajishaua
Babu Juma kasimama dede
Kaupinda ye, mgongo, kaupinda
Makadani nakuwaga bwege
Kaupinda ye, mgongo, kaupinda
Baby please ma
Tugandane pizza na cheese ma
Kama maji kwenye kisima
Jitenge nikuchote, nikuvute ning’ang’anie
Chorus
Anajishi anajishaua
Anajishishi anajishaua
Eeeh shishi anajishaua
Anajishi shi anajishaua
Na mapozi ya camera, jishaua
Kanga akivaa na dera, jishaua
Tamu yako kuku sekela, jishaua
Ana upole cinderela, jishaua
Na mapozi ya camera, jishaua
Kanga akivaa na dera, jishaua
Tamu yako kuku sekela, jishaua
Ana upole cinderela, jishaua
ALSO, SING TO Sabuni ya Roho Lyrics – Best Naso – New Song