Home NEWS Amen Lyrics – Nedy Music

Amen Lyrics – Nedy Music

0
Amen Lyrics by Nedy Music

Amen Lyrics by Nedy Music – Download Mp3 Audio

Amen
Amen
Mmmm
Na na na na
Na na na na

Verse One

Maisha safari dunia njia tunapita tu
Kiachana afadhali ongeza nia utafika tu
Walishaniomba lifti kinyonge iyee iyee
Nikawapa tough wasonge iyee iyee

Wakaniita kavu mi mnyonge
Walionipa ndoa ndo wale wale wapora tonge

Kodi baba saidia
Kwenye miba palilia
Kwenye shimo yafukia
Huenda nikapona donda

Sina nongwa sina choyo
Nani mganga itabiri hii nyota yangu
Sina meno kibogoyo
Mswaki wa nini kinywani mwangu

Wala thamani wanipiga kazongo
Kitambi cha masikini kivyongo huwa na shombo
Maneno neno mengi ya uongo
Mpemba nisifike malengo huwa nakabaa

Chorus

Amen
We omba dua kesho usichoke yatatimia
Amen
Weka yako nia mola wako anakusikia

Amen
Fumba macho pia na amini utafanikiwa
Amen
Riziki mafungu saba na lako utafikishiwa

Verse Two

Walishanitangaza sambaza
Kwa mabaya nikanyimwa mema
Wakanipakaza kujaza
Uzuri nimenyimwa sema

Ole na unyonge wangu
Ukoje binti Juma asante sana mama
Salamu ndio natuma nakupenda sana

Kwanza moja sio ujinga
Ukiamini ipo siku utashinda
Japo wapo wanaopinga
Pambana kazana eeh

Sina nongwa sina choyo
Nani mganga itabiri hii nyota yangu
Sina meno kibogoyo
Mswaki wa nini kinywani mwangu

Wala thamani wanipiga kazongo
Kitambi cha masikini kivyongo huwa na shombo
Maneno neno mengi ya uongo
Mpemba nisifike malengo huwa nakabaa

Chorus

Amen
We omba dua kesho usichoke yatatimia
Amen
Weka yako nia mola wako anakusikia

Amen
Fumba macho pia na amini utafanikiwa
Amen
Riziki mafungu saba na lako utafikishiwa

Amen Amen Amen Amen

Amen Lyrics by Nedy Music

ALSO, SING TO – Corona Lyrics – Beka Flavour

Previous articleCorona Lyrics – Beka Flavour
Next articleRobert Alai Biography, Age, Career, Arrests, Facts, News