Again Lyrics – Beka Flavour
Verse One
Unavyonipenda najihisi sultani
Unanipa vyote wengine wa kazi gani?
Kamoyo kangu umekaweka kiganjani
Beiby I love, I love you
Hata kwenye sofa sio lazima kitandani
Unanipaga yakipanda maruani
Utamu najikuna kisogoni
Beiby I love, I love you
Sikuchoki milele
Siongopi kwako wewe
Mapenzi bwerere
Unanipa yote yote mimi
Haraka nisichelewe
Kapete nikuvishe wee
Mwakani na nikuoe
Uwe wangu daima na milele
Najifeel gudi, ukismile beiby
Nikiss nikiss nikiss be my beiby
Weka pause beiby, simu full charge
Mapic, mapic mapic snap beiby
Ni unadi, sitoi kadi
Nahisi nahisi nahisi ndio finally
Again no, wengine no
Kigogo gogo aah
Chorus
Again again,
Nipe tena beiby, Again again, umenikaba kwenye koo
Again again,
Sisikii sioni, Again again, wengine nasema no
Again again,
Nipe tena beiby, Again again, umenikaba kwenye koo
Again again,
Sisikii sioni, Again again, wengine nasema no
Verse Two
Despacito, mammitto
Mwenzako utanipa ngonjwa la moyo
Na mapigo ya moyo
Nilinde nisijekufa kihoro
Nigande
Raha zote nipate
Tuwaepuke wapambe
Nileweshe ka gambe, Oyeee
Beiby ifunanyu, hulla mi savanna
Nikiss nikukiss tupendane mama
Yako inabana, sio kubwa sana
Fukuza wanafiki wasipate mwanya
Wale visokorokwinyo
Wakose cha kusema
Hey, hey
Najifeel gudi, ukismile beiby
Nikiss nikiss nikiss be my beiby
Weka pause beiby, simu full charge
Mapic, mapic mapic snap beiby
Ni unadi, sitoi kadi
Nahisi nahisi nahisi ndio finally
Again no, wengine no
Kigogo gogo aah
Chorus
Again again,
Nipe tena beiby, Again again, umenikaba kwenye koo
Again again,
Sisikii sioni, Again again, wengine nasema no
Again again,
Nipe tena beiby, Again again, umenikaba kwenye koo
Again again,
Sisikii sioni, Again again, wengine nasema no
Again Lyrics Credit – Beka Flavour
ALSO, SING TO – Mako Stamina Lyrics – Z Anto – New Song 2020