Home GENERAL 2 BY 2 Lyrics – VDJ Jones, Timmy Tdat, Volkhano, Wendee

2 BY 2 Lyrics – VDJ Jones, Timmy Tdat, Volkhano, Wendee

0
2 BY 2 Lyrics

2 BY 2 lyrics  -VDJ Jones Ft Timmy Tdat, Volkhano,Wendee,Gwaash,Kanali,Padi Wubonn

Sheria ni ya 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2 by 2
Sasa dada ukidance
Unang’am na kudunga duba

Abdalla inadai wreso
Sheria ni ya 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2 by 2 by 2 by 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2

Verse One

Wacha wakam wawili kama arc ya Noah
Kama mi ndo mbaya hii nitang’oa
Anaiweka kwenye throat alafu hmm anakohoa
Inabidi nilete potty ju gal unakojoa

Piga magoti unafaa kuniabudu
Akule bamboo ki African bantu
Naipiga tempo ile ya Cindy Sanyu
Usiniite jina gyal mi sikufahamu

Iko tighter ka mtoto wa Taveta
Nakam na kiti ju lazima utahema
Utatangaza hii ni lazima utasema
Hii ni 2 by 2 kupiga na kuenda

Chorus

Sheria ni ya 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2 by 2
Sasa dada ukidance
Unang’am na kudunga duba

Abdalla inadai wreso
Sheria ni ya 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2 by 2 by 2 by 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2

Verse Two

Siwezi njotika ka mdenge si deng’a
Nakutoka ka kingale ni kipyenga
Of late nawakunywa kama Fanta
Na mangeus wamebeba mapunyambes

kama canter Dada mnyonyo naitwa Volkhano
Mi ni njanjez na natoka Eastlando
Nikiwa ryma nilikuwa chopi wa mao
By 2 nidivide miguu za teacher after teo

Kama sanse si unidandie
Iyo ndina niko idhaa ya kuitandika
Mi huguruma kama nduthi nikinjotika
Nisipoduu hiyo pongi haina utamu eey

Chorus

Sheria ni ya 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2 by 2
Sasa dada ukidance
Unang’am na kudunga duba

Abdalla inadai wreso
Sheria ni ya 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2 by 2 by 2 by 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2

ALSO, SING TO Happy Birthday Lyrics Arrow Bwoy

Verse Three

Nina ngima kwa ngife
Venye ninaona leo form lazma ijipe
Magirimba wanifuata wanasema niko konki
Ati wana noti na wananinoki

Manze tunaweza kuwa like Boni and Clyde
Lakini zii, habari zako mi sidai
Mi nadai tu kubanju sijali uko wire au umedungwa kazi
Manze pia mi huvaa nywele ya farasi

Fresher than Uk, ama they call me njage
Ringi safi unaea dhani mi ni mkamba
Mbogi yangu fiti si mbogi ya wamama
About to blow up call me Osama

Chorus

Sheria ni ya 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2 by 2
Sasa dada ukidance
Unang’am na kudunga duba

Abdalla inadai wreso
Sheria ni ya 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2 by 2 by 2 by 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2

2 BY 2 Lyrics Verse Four

By 2 by 2 mi napenda 4some
Form za mahandsome, form za handas
Nawabieng kwenye bed wanajua mi ni riest
Sponsor kwenye beat wanajua jo tu ni hit

Nikipita kwenye street wanadai tu magig
Wanadai tu mahits, wanadai tu niwafeast
Tulicheza jo low wakajua mi ni beast
Na ikibamba mkoba wangu anajua ye ni queen

Verse Five

Naja- pongi naigongi na form ya manduku
Kanali sijishuku alama ya dukuduku
Kam back manyu ndo tuchill na wenyewe
Steam zikitaru ita Uber tusepe

Tone ni ya genge mi na mabeshte
Agiza patiwa, itisha upewe
Makali nachoose, vela na food
2 by 2  kitukus

Vi -Vile unatembea tiger pazimu
Leo ni lazima nikujenge ka mchinku
Prrr prr baby shika simu
Ni Kanali Kapeter na ninataka kukutibu

Chorus

Sheria ni ya 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2 by 2
Sasa dada ukidance
Unang’am na kudunga duba

Abdalla inadai wreso
Sheria ni ya 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2 by 2 by 2 by 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2

Sheria ni ya 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2 by 2
Sasa dada ukidance
Unang’am na kudunga duba

Abdalla inadai wreso
Sheria ni ya 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2 by 2 by 2 by 2 by 2
Sheria ni ya 2 by 2

Credit: 2 BY 2 lyrics  –VDJ Jones Ft Timmy Tdat, Volkhano,Wendee,Gwaash,Kanali,Padi Wubonn

Previous articleHappy Birthday Lyrics Arrow Bwoy
Next articleHow to Check HELB Loan Balance and Repayment Status